Thamani ya Kiswahili: Watu maarufu duniani wenye majina ya Kiswahili

The Sheriff,

Hizi propaganda za kutukuza Kiswahili, some time zinakera wakati Kiswahili hapa Tanzania kinapo tumika 99% kimeshindwa kabadili maisha ya wa Tanzania kwenye elimu, biashara demokurasia, ungunduzi sayansi na tekinologia.

lugha yoyete muhimu lazima ilete matokeo chanya kwenye jamii husika, Tz imebaki kua LDC kama nchi zingine za Africa pamoja na kutumia Kiswahili kwa 100%, tatizo ni nini?

Wa Kichina, Kijerumani, Kiingereza, Kijapani, Kiamaharic, Kiitaliano, Kiarabu nk. wametumia hizo lugha zao kuleta umoja sayansi na tekinologia na kubadilii jamii zao, sisi tunajisifu kwa kutoa nyimbo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wanaigombea huku kuna mtu anaiita haina tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Kidada Jones na Rashida Jones.

Na wajapani pia hawapo nyuma kuna Kumamoto University,
Sasa sijui hili jina lina asili ya Kiswahili au coincidence tu na maneno/majina yao ya kijapani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10. Hodari Sababu: Huyu ni Baba wa Kambo WA Rapper The Game.

Wamarekani weusi wengi wana majina ya Kiswahili sema wengi sio maarufu.

Wamarekani weusi wengi Wana amini Kiswahili ndio lugha inayo litambulisha bara la Afrika.

Tupac in 1996 katika wimbo wake " Troublesome 96" anasikika akighani " Fvck all y'all niggas in Swahili (Hapa alimaanisha Ku....yo/ au mn....bwa)

Kuna movie moja ya mablack ilitoka miaka ya tisini kuna dada mmoja wa gheto alikuwa na watoto kama sita hivi wote kila mmoja na Baba ake basi Dogo mmoja akamuelewa huyo singo Maza sasa wakati anamuuliza jina huyo Maza akasema " My name is ( jina nimesahau) a Swahili for Doggystyle)
Movie; Don't be a menace

Pia kuna Mjerumani mmoja anaitwa Malaika Mihambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili kimedokoa maneno mengi kwenye lugha nyingine za kibantu, kingereza, kihindu, kijapani nk,
na mengi kwenye kiarabu.
Kwahiyo maneno kama "kumamoto" ni maneno ya asili ya kijapani ambayo yamedokolewa kwenye kiswahili
Kuna Kidada Jones na Rashida Jones.

Na wajapani pia hawapo nyuma kuna Kumamoto University,
Sasa sijui hili jina lina asili ya Kiswahili au coincidence tu na maneno/majina yao ya kijapani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, hiyo ni coincidence tu kwa sababu hatujawahi kuwa na uhusiano wowote na Japani uliofanya hadi tukope maneno kutoka huko kwenye lugha yao

Kuna lugha chache sana ambazo tumekopa maneno huko mostly Kiarabu, Kiingereza, Kireno, Kijerumani, Kihindi, Kipersi na hiyo ni kutokana na uhusiano wa moja kwa moja na mataifa hayo

Sehemu ambazo utakuta maneno mengi ya kukopa ni kwenye Biashara, Utawala, Elimu na Tekinolojia na sio kwenye vitu kama ku*ma na moto ambavyo wabantu walivijua kwa miaka na mikaka kabla ya uhusiano na mataifa ya mbali
Kiswahili kimedokoa maneno mengi kwenye lugha nyingine za kibantu, kingereza, kihindu, kijapani nk,
na mengi kwenye kiarabu.
Kwahiyo maneno kama "kumamoto" ni maneno ya asili ya kijapani ambayo yamedokolewa kwenye kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi binafsi navutiwa zaidi na vibwagizo Kwenye nyimbo za wasanii wakubwa kama vile.
"Nakupenda pia nakutaka pia mpenzi wee"---Michael Jackson (Liberian girl )
"Jambo nipe sent moja" Lionel Richie (All night long)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu mengi ya hayo majina uliyoweka ni ya kiswahili ila yenye asili ya kiarabu (baadhi).
Majina ya kiswahili hasa ni kama Sikitu, Pombe, Sikujua, Lipumba, Jembe, Sikudhani e.t.c.
Umeacha majina kama Furaha, Faraja, Upendo, Tausi, Neema, Rehema, Maua, Zawadi, Zaituni na ukarukia Sikitu, Pombe na Sikudhani ili uoneshe negatively kwenye lugha ya kiswahili,

Basi ni wazi chuki ndio zimekufanya ukawa na mtazamo batili kuwa hayo majina ya kiswahili yana asili ya kiarabu kitu ambacho sio kweli.

1.TARAJI PENDA HENSON (Taraji Penda) kiswahili

2. SANAA LATHAN (Sanaa) Kiswahili

3. TALIB KWELI GREEN (Kweli) Kiswahili

4. ZURI HALL (Zuri) Kiswahili

5. AMANI ASKARI TOOMER (Amani Askari) Kiswahili

6. BLACK UHURU (Uhuru) Kiswahili

7. RAS JUA BARAKA (Jua Baraka) Kiswahili

8. AMIRI BARAKA (BARAKA) Kiswahili

9. REHEMA ELLIS (Rehema) Kiswahili

10. JAMES MTUME (Mtume) Kiswahili

11. MAULANA NDABEZITHA KARENGA (Maulana) Kiswahili

12. Hodari Sababu: (Hodari) Kiswahili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom