Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,111
- 158,967
Oooh kumbe! Nilikuwa na access ghafla nikatolewa. Nikashangaa leo nina access tena.
Oooh kumbe! Nilikuwa na access ghafla nikatolewa. Nikashangaa leo nina access tena.
Mshana hebu toa somo zaidi kwa huyu muhusika, amelielewa upande upande.Usemacho ni sahihi mkuu Mshana Jr
Nliponea chupuchupu kufanywa hanithi na mdada mmoja kutokea mkoa wa Kagera miaka ile ya 2000 mwanzoni baada ya kulazimisha nimwoe na mimi kukataa. Kumbe mwenzangu alipokuja ghetto aliondoka na nguo yangu ya ndani, na baadaye akanambia ukiweza kutom**ba tena mimi siyo Xxxxxxx.
Huwezi amini kutokea siku ile jogoo akawa hapandi mtungi, nilipambana kutafuta wataalam mikoa na mikoa ndiyo kwenda kuponea Rufiji ndani ndani huko.
Tangu siku hiyo hadi leo hii niko Makini sana na nguo zangu za ndani pamoja na zile tishu za kufutia Manii ambapo wadada wakati mwingine huzibeba baada ya kutufuta.
Part two tayari. Bado part 3.Nasubiria Part 2...
Hebu subiri kwanza, kwa wale tunaoanika chupi zetu nje kuna tatizo?Sehemu ya tatu na ya mwisho
Chupi inatumika kama kielelezo ama mlinzi wa kufunika ama kuficha utupu... (Chupi kwa maana yake halisi na sio hivi vikamba vya siku hizi.... Na pia chupi imetumika kama kipitio cha kutekeleza tendo la ngono isiyorasimishwa kisheria, kiimani wala kimila
Kama kuna malighafi inaweza kutumika kwa haraka na kuwa ufanisi wa hali ya juu basi ni chupi ilibeba ute wa utupu, manii, nywele za siri, jasho hata vinyweleo ama damu ya hedhi
Zaidi ni kwamba kupitia chupi hiyo hiyo, utupu wako unaweza kutumika kuzalisha mapepo, kuyafuga, kutupiwa kimavi au gundu, na hata kubeba maroho ambayo yanaweza kuja kukusumbua sana baadae
Wengi wamevuruga kazi, maisha na hata familia kwasababu tu ya chupi... I mean kuvuana chupi kwa nia ya kufanya ngono
Nihitimishe tu kwa kusema chupi yako ina thamani kubwa na imebeba dhamana kubwa katika maisha yako bila kujali wewe ni jinsia gani... Chupi yako ni sehemu ya uhai wako
Haipaswi kuonwa na kila mtu... Haivuliwi kwa kila mtu... Unavua kwa wakati sahihi na mtu sahihi.... Si kila mmoja ni wa kuvulia chupi la hasha kwa kufanya hivyo unavunja kuta na kingo imara za kinga za kiroho.... Heshima, raha na ladha ya chupi ni pale unapomvulia anayepaswa kuvuliwa tuu.....
Kwaherini
Jr
Kuwa makini sana sehemu unapoanika nguo zako za ndani hasa kama ni nyumba ya wapangaji wengi... Ni malighafi hiyo... Ikifanyiwa kolabo inaweza kuzima ndoto zako nyingiHebu subiri kwanza, kwa wale tunaoanika chupi zetu nje kuna tatizo?
Kuwa makini sana sehemu unapoanika nguo zako za ndani hasa kama ni nyumba ya wapangaji wengi... Ni malighafi hiyo... Ikifanyiwa kolabo inaweza kuzima ndoto zako nyingi
Jr
Wewe Mshana jamaniKuna kunguru huwa wanazibeba si kunguru wote ni ndege wa kawaida wengine ni wa kutumwa
Jr