kama yote kama si ukoo mzima basi ni kijijiDah kwahiyo wale wanaooa na kuacha kkila siku wazee wa 'kama una ghetto onesha funguo' watakuwa na mapepo bilioni ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jukwaa la dini liko public sasa hivi kila mtu anaonamwenyew siku na access ya jukwaa la DINI ila nime jikuta nauona huu uzi jukwaa la Dini ivo nime kua granted na hiyo access sasa najiuliza apa nime pewa na access ya jukwaa la wakubwa au laaa wacha niendelee kuangalia kwenye haya majukwaa labda ntalionaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa yako anaonekana ana wivu sanaKwa hiyo unamaanisha unamfahamu bibie nje ya JF?