Thamani halisi ya binti

Mtoa mada kajaza orodha ndefu ya madhaifu ya wanawake huku akimaanisha yamesababishwa na mwanamke kutotunza usichana wake hadi ndoa. Moja ya sababu yake kubwa ni kuwa mwanamke anapoingia kwenye mahusiano akiwa hawajui wanaume kutamfanya asiwe na chaguzi maarumu maana atakuwa anamjua huyohuyo wakwake. Sasa mi kama mwanaume niko na mwanamke wa aina hiyo ambaye nimemkuta hajamjua mwanaume ila sasa hadi naona ni heli ningeoa moja hata ya mabarmaid niliowahi kuwa nao kuliko huyu. Yawezekana tatizo likawa kwangu maana mi nimejikuta ninao wa kumlinganisha nae ndo chanzo cha kutokuifurahia ndoa yangu lakini kwa hili mtoa mada hajaliongelea. Namaanisha tupo wanaume wabovu kama kipimio chake kitatumika basi wanaume tupo wabovu na tumekutana na wanawake anaowachukulia kuwa wao ni wakamilifu kwenye ndoa. Mfano tu mi nikamwacha mke wangu kwa vigezo vyangu tofauti inamaana huyo mwanamke hatoaminiwa na mwanaume mwenye vigezo vya mtoa mada. Hata kama tukisema tutumie bikra kama kipimio basi hitima ya bikra ni mwanamke kutokuchepuka tu. Bado mambo ya usafi, utii, fikra ki maendeleo, mipango mizuri kwa baadae kichwani mwake, na mambo mengine mengi ambayo hayahusiani na kuchepuka. Nikisema nawaona bora wale ambao ye anawaita makahaba basi wapo bora katika secta nyingi nikiwalinganisha nae. Maana yeye kawazidi kutunza usichana tu tena nao umesaidiwa na mazingira.
Mkuu fafanua kidogo basi
 
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri sana
 
Mkuu umeandika kwa hisia kali haswaa
 
Back
Top Bottom