TGIF: Ujiko Tujipe Wenyewe: JamiiForums Yapepea!!

Ni kukumbushana tu,sometimes si mbaya kujishughulisha na kufind out.Ama "kufikiri zaidi kidogo"
Just alittle bit more,utasolve matatizo mengi sana.Trust me.
aaa uuu sirias mkuu!? Au kuna mengine?
 
poleni kwa kazi ngumu muifanyayo na nawatakia mafanikio mema ktk ujenzi wa jamii yetu ya Kitanzania
 
Nadhani kuna sehemu za habari haziko sahihi sana wanashughulikia kuedit kulikuwa misunderstanding ya aina fulani.
 
Hongera JF. Hongera members wote. Big up. Hakuna kurudi nyuma mbele daima. Waache waseme mwisho watalala. Mapambano yanaendelea. Aluta continua.
 
Jamii forums ni kiungo mathubuti katika jamii ya watanzania ndani na nje ya nchi. Ni chombo mathubuti ambacho kimekuwa na upeo wa hali ya juu licha ya kuwaunganisha watanzania, pia ni mtandao ambao umejitahidi na unaendelea kuelimisha jamii bila ubaguzi wa aina yo yote, na ni mtandao uliopanua wigo wa kujali kila mmoja na mvuto wake na hisia zake kwa kuanzisha thread mbalimbali zenye taswira mvuto.

Waanzilishi wa mtandao huu wanastahili pongezi kwa kuwa weledi na bila ubinafsi na kufanya chombo kamili cha jamii tofauti na blog mbalimbali ambazo zinathibitiwa na waanzilishi. Mada nyingi zinazojadiliwa hapa ni live na zinazoakisi maisha ya kila siku ya mtanzania wa leo, ndio maana mtandao huu kwa watumiaji wake na hata visitors wanaonja uhalisi wa maisha ya mtanzania wa sasa.

Kuna dalili wazi za kukua kwa mtanzao huu kwa kasi sana, na ninachoweza kupendekeza wanajamii forums ni kudokeza mambo ambayo yatakuza zaidi network hii. Ukitaka kupata habari live na pengine hata vyombo vingine vya habari kabla havijarusha matangazo, jamii forums wanahabari tayari dunia nzima. Sina shaka miaka michache ijayo jamii forums tunayoona leo itakuwa na sura nyingine kutokana na kukua kwake kwa kasi ya ajabu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wazo kwa Max na Mushi,
Kwanini msifanye maarifa kwa kuanza kuuza shares ktk DSE kama ambavyo blog zingine duniani maharufu km hunfington post na kadhalika
zinavyofanya?

Let say Jamii Forums ina members milioni kwahiyo hata kama mkianzia shs.100 kwa share ambazo ni kidogo sana, ukiangalia wengine walipoanzia kwani mimi nilinunua share za CRDB mwaka 1996 na kila share moja ilikuwa ni shs.10,000.

Kutokana na mapinduzi ya kisiasa na technologia yanayoendelea ndani ya nchi yetu mnaweza kufikia shs.500 per share within very short time.

Mimi nitakuwa wa kwanza kununua shares maana naamini future ya JF is not only bright but it is burning.

I would love to hear from you guys in case my help is needed.
 
Maxence.jpg


kama si ufisadi ni nini jamani?

hela umeenda kununua JI KITI utafkiri la JK? kha!

ile mambo ya mkono mtupu haulambwi kumbe umeenda ku upgrade na mi product ya Steve JObs

Mac, sijui Ipad na simu 4 nne za nini kama si israf?


Halafu htukisema wewe jina lako ni MAKHSEN au MAHFOUDH unatubishia, haya ofisi kuwa kama msikiti ndio nini ? maana naona ofisi watu wanatembea na soksi tuuuuuu sheikh halafu katibu muhtasi yuko wapi?

either way congrats ila I know Haters gonna hate!
 
Halafu wee Max hebu nunua dumbells bana uwe unapiga walau biceps curls uvitunishe kidogo hivyo vi mikono khaaaa....

kwanza aache kukaaa ki hasara hasara...kila siku Tshirt utafkiri Michuzi? Kaka nenda zako GAP au hata Polo Ralph Lauren upate Tshirt za maana. Halafu kuvaa ma jeans kama Kubenea achana nayo hayoooo Bati limekuwa bluuu mno....

kweli mwili huo unatakiwa uwe JUICED UP....maana hiii JF MEEET N GREET ya DECEMBER im sure zitaanguka ngumi tuu sasa kaka inabidi aanze mipango ileeee ya bwana BEN JOHNSON.
 
Unlike other social media in the region, JF is not divided on demography or ideologies. Certainly with 40+K members the possibility of harboring mercenaries cannot be ignored. Yes, the freedom of speech should be exercised but no freedom without boundaries.
Contrary to the days of yore, the recent trend is appalling and ominous. The forum needs to uphold the national unity and refute any move to infiltrate the divisions in anyway. Thus, discipline is imperative and the onus is squarely to Admn and members to strike the balance between quality and quantity.
Congrats and keep it up!
 
- Mkulu Mwanakijiji Saafi sana hii ni taarifa makini sana, sasa hivi tuelekee kwenye mwendo wa Gazeti, Radio na TV.

- Mkulu Max sawa sawa mkuu tupo pamoja sana, na you always have my out most Respect!

- Wana-JF wote, MBARIKIWE SANA, FINALLY WE HAVE THE EARS OF OUR NATION, imechukua hard work ya wananchi wote nyinyi, tumepigana mawe hapa, tumetukanana, and all the stuff, lakini finally kimeanza kueleweka kama tulivyokuwa tukitabiri, So wembe ni ule ule TAIFA KWANZA!

MUCH RESPECT!


William @ New York City, USA.
 
Aisee, nilijua haitochukua muda kabla ya madongo kuanza kurushwa!!! :glasses-nerdy:
Mengine makavumakavu... watu nuksi ninyi!! lol

Lakini kweli hicho kiti kinene hicho wee acha tu! duuh... utafikiri cha kwenye meli ya vita!!:biggrin1:
 
Aisee, nilijua haitochukua muda kabla ya madongo kuanza kurushwa!!! :glasses-nerdy:
Mengine makavumakavu... watu nuksi ninyi!! lol

Lakini kweli hicho kiti kinene hicho wee acha tu! duuh... utafikiri cha kwenye meli ya vita!!:biggrin1:

Jamaa itabidi apewe somo la jinsi ya kunyuka pamba za ukweli. Vi Polo vilivyochoka haviendani na status yake kabisa.
 
Tunajua kama humu tuna washamba wengi lakini now you are the face of JF useme CEO wa Jamii Media au ndio tsasa iweje unavaa kishasara hasara kama Kubenea & Co?

mjomba u need an upgrade

Max Ideas zanguo hizi hapa:


M55411906_400_01_504_540.jpg
LBTies.jpg
2ibbv52.jpg


Na kama unaweza ongea na WILLIAM atakupeleke duka hili

j-crew-store.jpg


ukitaka viatu nistue tuu
Clive_681136.jpg
M55410910_420_01_504_540.jpg
M30110021_402_01_504_540.jpg
M30210003_629_01_504_540.jpg
Westmoreland%20-%20Tan300x189.jpg
NORTHAMPTON_BLK300.jpg


Windsor300.jpg
anthony-mackie-2-1108-lg-18730767.jpg
pag10.jpg

Suitsalesman.jpg
A%26S.jpg
BGWT22.jpg



Omega 1960 sea master...watakao laumu waache walaumu lakini ndio the price of paying ukiwa CEO

seamasterve0.jpg
gravatiwing001.jpg

NOMAD002.jpg
img1161rt8.jpg


img1163cv2.jpg
DSC_0570a.jpg


DSC_0577a.jpg
TGears019.jpg

TGears021.jpg
 
Jamaa itabidi apewe somo jinsi ya kunyuka pamba za ukweli. Vi Polo vilivyochoka haviendani na status yake kabisa.

Tatizo la ku-hang na akina brother Michuzi anaishia kuwela pamba ka'zao!! Polo shirt na denim blue haviendani ... hapa lazima tuseme tu! Unafikiri tunavyowakomalia hao wengine kwenye majamvi ya JF unafikiri hapa napo tutapiga breki... jamaa inabidi apigwe msasa wa viwalo kwakweli... Akishindwa basi amkopi muungwana tu, najua age hazi match but yuko fit kwa hilo!! :)
 
Back
Top Bottom