KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Anyway,
Si ajabu mnabishana kitoto na mtoto mwenzako hapa jamboforums maana mko hapa kuharibu mada na kuleta ubishi usio na mwelekeo.
Katika hili endelea kubisha na kuleta michezo yako. Nilijaribu kutoa ushauri kwako. Na kwa response yako, nimeamini kuwa wewe unanimiliki kwa sababu hata mungu ni mtanganyika.
Asante kwa hili, turudi kwenye mada na kinachoengelewa kwenye topic hii!
definition yako ya mtoto ni ipi ?? halafu niambie kama nafit kuitwa mtoto. jata kama kuna watoto hapa JF, kipi kigeni kwako ? wataje hao watoto.
Basi usilie yakhe, maana niliona unazidisha speed wakati naku-OWN bana ! sasa napata uradi wangu, nalog off na nitakuwa on nitakapoamua !