Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,676
- 40,555
Duh! Mrema mbona kachoka mbaya! Yaaani suti tu inaning'inia, kweli jua kali hakuna ruzuku tena nini?
kwa mawazo yangu, mara nyingi viongozi wa namna hii (mf; Mrema) ndio wanaodhihakiwa 'wakishatupwa nje ya kapu',
je, sababu ni kuwa hawakujitajirisha wakiwa madarakani?
Katika viongozi wa Tanzania waliopata kuwatia jamba jamba Viongozi wenzao walipokuwa madarakani ni Marhum Sokoine, Seif Shariff Hamad enzi zake za uwaziri Kiongozi, na huyu Mzee wa Kiraracha.
'Mnyonge' mnyongeni lakini haki yake mpeni, viongozi watatu hao hawana utajiri wowote wa kujivunia, lakini walipigania kikweli kweli maadili ya uongozi!

ukweli ni kuwa mafisadi wote nchi hii huwadhihaki sana waadilifu dizaini ya ..mwalimu.sokoine,mrema na seif....utawasikia ...seif hana hata nyumba kazi kulala star hotel dezoo..