TGIF; kila la heri maharusi wa kesho...!

liisemekana kwamba bila wao wacngeweza kufanya haruc kama ile so ni lazima wajipongeze kwa kazi nzito...

Kwa kifupi, kamati ilikuwa inaji-reward! Hata ile michango waliyoahidi kwa mbwembwe wamejirudishia na faida labda! Kweli kamati nyingine kiboko!
 
Back
Top Bottom