Mzee Madoshi
Senior Member
- Feb 16, 2011
- 134
- 41
Mzee Mwanakijiji, nimeipenda hii, ngoja niijibu kwa aliyoyapigania Nyerere ambayo yote yalikuwa chini ya kivuli cha utu wa mwanadamu bila kujali rangi, kabila, kipara, wala kibiyongo.
1. Umoja wa Tanzania, umoja wa africa na ikiwezekana kuwe na umoja dunia nzima
2. Na ili kuwe na umoja inabidi tuwe na Amani na utulivu. Hapa Tanzania hilo lililetwa na Azimio la Arusha - kuleta matumaini kwa wanyonge, na kuweza kuishi na mabepari kwa amani na utulivu
3. Kuondoa manyanyaso, kuondoa ukoloni wa zamani na mamboleo: Makaburi yetu bado yako kule kwa kina Muthalika
4. Kutofungamana na upande wowote wakati wa vita baridi: Hili lilitusaidia sana kuavoid what the guy called automatic conflicts, kwamba wewe ukishakuwa mjamaa, basi 'automatically' unakosana na Mmarekani. Kibiblia sisi tulikuwa 'vuguvugu' katika siasa za dunia, na tuliweza kuchota misaada kutoka Marekani, China, Cuba, Urusi, n.k
Wasalaam