TGIF - Bonge la houseparty mjini...kiingilio ID ya Mtoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TGIF - Bonge la houseparty mjini...kiingilio ID ya Mtoni

Discussion in 'Entertainment' started by Quemu, Sep 18, 2009.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  LOL

  Basi kuna mshikaji kani-sms nusu saa iliyopita. Kanistua eti kuna bonge la houseparty jioni hii hapa Dar, lakini kiingilio ID ya mtoni.

  Yaani maanake ili uweze kujikita kwenye houseparty lazima uwe na identification ya majuu. Haijalishi kama ni driving license, school id, kadi ya kijani, passport, work id, nk....ili mradi kiwe cha mtoni tu. Na mtoni sio lazima iwe US na UK pekee...India, Russia, mpaka SA nako kunahesabika kama mtoni.

  Duh wabeba maboksi bana.
   
Loading...