TFF yatuma barua ya mashitaka CAF dhidi ya Kocha wa Yanga sc

Wacheni kuwatisha. 4G tu hawajaamka mpaka sasa.Kila siku kuna jipya. Mtafanya wasiingize timu.
 
Kumshtaki yule kocha ni kukurupuka tu kwanza kocha hana kosa lolote, na hata aliposema viongozi wa yanga ni waswahili alikuwa sahihi maana suala la shishimbi hadi leo halieleweki, ya Morison pia halieleweki club inasema wachezaji wamesain na wachezaji wanasema hawajasain huoni kuwa ile team ni ya kihuni huni?
 
Back
Top Bottom