TFF yaiomba Simba ufafanuzi juu ya kauli ya Haji Manara dhidi ya waamuzi.

Wonderful

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Messages
7,475
Likes
5,233
Points
280
Wonderful

Wonderful

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2015
7,475 5,233 280
Inawezekana Msemaji wa Simba, Haji Manara akaingia matatizoni na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limetaka ufafanuzi kutokana na kauli zake dhidi ya waamuzi waliochezesha mechi ya Yanga dhidi ya Simba.

Taarifa zinaeleza, tayari TFF wamesukuma barua kwenda Simba wakitaka ufafanuzi.

“Kuna barua imepelekwa kutaka kupata ufafanuzi kwa kuwa zinaonekana ni kauli za kichochezi,” kililieza chanzo.

Lakini mmoja wa maofisa wa Simba ameiambia SALEHJEMBE: “Hatujapokea barua yoyote, acha tuendelee kusubiri tutaona itakavyokuwa.”

Manara anatuhumiwa kuwashambulia waamuzi waliochezesha mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 na Yanga kuonyesha soka safi zaidi ya Simba hasa katika ushambulizi.

Lakini Manara alilalamika Simba kunyimwa penalti likiwemo lile tukio la Kelvin Yondani kuunawa mpira wakati akijaribu kuondosha hatari langoni mwake.
 
jerrytz

jerrytz

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
5,848
Likes
3,273
Points
280
jerrytz

jerrytz

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
5,848 3,273 280
Kauli za kichochezi?
 
Super Don

Super Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Messages
1,427
Likes
1,012
Points
280
Age
24
Super Don

Super Don

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2016
1,427 1,012 280
Simba ni bora watafute afisa habari mwingine, achaneni na huyu mpiga kelele, atawatieni kwenye migogoro I sio kuwa na tija, mtu badala aizungumzie club ye ana waka kwa jinsi anavyojua yeye
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,124
Likes
39,880
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,124 39,880 280
Inawezekana Msemaji wa Simba, Haji Manara akaingia matatizoni na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limetaka ufafanuzi kutokana na kauli zake dhidi ya waamuzi waliochezesha mechi ya Yanga dhidi ya Simba.

Taarifa zinaeleza, tayari TFF wamesukuma barua kwenda Simba wakitaka ufafanuzi.

“Kuna barua imepelekwa kutaka kupata ufafanuzi kwa kuwa zinaonekana ni kauli za kichochezi,” kililieza chanzo.

Lakini mmoja wa maofisa wa Simba ameiambia SALEHJEMBE: “Hatujapokea barua yoyote, acha tuendelee kusubiri tutaona itakavyokuwa.”

Manara anatuhumiwa kuwashambulia waamuzi waliochezesha mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 na Yanga kuonyesha soka safi zaidi ya Simba hasa katika ushambulizi.

Lakini Manara alilalamika Simba kunyimwa penalti likiwemo lile tukio la Kelvin Yondani kuunawa mpira wakati akijaribu kuondosha hatari langoni mwake.

Safari hii TFF wakimfungia Msemaji wa Simba SC Haji Manara nitawapongeza tena sana tu kwani japo Mimi ni mwana Simba SC tena ' Kindakindaki ' sijapendezwa na maneno yasiyo ya Kiuanamichezo ambayo Manara ameyaongea jana mbele ya Press pale Klabuni.

Madai yote aliyoyasema jana hayana nafasi wala tija hasa katika Soka la ' Ushindani ' kama la sasa. Labda Haji Manara amesahau kwamba hayo madai yake dhidi ya Mwamuzi kuna muda ndiyo yanafanya mchezo wa mpira uwe na raha kwani yanasaidia kuleta ' ubishani ' wa Kiuanamichezo kitu ambacho ni ' afya ' pia kwa mchezo wenyewe.

Nina mengi ya kusema na kumsema Msemaji wangu Haji Manara ila itoshe tu kusema kwamba kama ' Watani ' zetu Yanga SC waliona mbali na kumuondoa Msemaji wao ' Mswahili ' Jerry Muro na kumleta Msemaji mstaarabu, makini, mweledi na mtulivu Dismas Ten nadhani ni wakati sahihi pia kwa Klabu ya Simba upesi sana kuachana na Haji Manara kwani amezidisha sasa ' uhuni ' na ' uswahili ' wake.

Referee nae ni ' Binadamu ' hivyo kuna makosa ya ' Kibinadamu ' ambayo ukiwa tu muungwana na mwanamichezo wala hayakupi taabu / shida kuyajua na unayavumilia maisha yanaenda. Kama kuna ' Referee ' ambaye Tanzania kwa sasa tumepata na tunatakiwa kumtia moyo, kumuamini na kumpa uzoefu zaidi basi ni huyu Heri Sasii aliyechezesha huo ' mtanange ' wa Simba na Yanga.

Mwisho nimtake tu Haji Manara awe mstaarabu na makini kama hizo ' Suti ' ambazo huwa anazivaa siku hizi vinginevyo atakuwa anazilalilisha tu hizo ' Nguo ' ambazo kiukweli Mtu yoyote akiwa anazivaa iwe isiwe lazima tu ataonekana yupo vizuri Kichwani na hana ' Uhuni ' na ' Uswahili '.

TFF na Kamati ya Maadili yenu Mimi GENTAMYCINE nitawaunga mkono kwa 100% juu hatua zozote zile za Kinidhamu mtakazozichukua kwa Msemaji wangu wa Simba SC Haji Manara ili liwe fundisho kwa ' Wapuuzi ' wengine. Wewe ligi ndiyo Kwanza bado iko ' mbichi ' hivi unaanza ' kulialia ' hivi mzunguko wa pili si ndiyo unaweza kuitisha kabisa Press na ' ukawanyea ' Waandishi Mkutanoni kabisa kwa ' Kihoro ' chako?

Huwa najizuia sana kumsema / kumnanga / kumchamba Haji Manara Msemaji wangu wa Simba SC ila kwa hili wala simbakishi na simwonei haya / aibu na namwambia ' mubashara ' kabisa kwamba Wana Simba SC makini kama Sisi tumeridhika na mechi yetu na Yanga SC na sasa tunajipanga kwa mechi zetu mbili za Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya City na Prisons hivyo atuondolee huo ' upuuzi ' wake.

Amenikera sana huyu Jamaa na nimemchoka mno.
 
K

kyata

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
597
Likes
297
Points
80
Age
38
K

kyata

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
597 297 80

Huyu jamaa kwenye ukweli hapepesi macho, bila shaka members wa kamati tendaji ya Simba mpo Humu, hebu ufanyie kazi ushauri wa huyu Ndg kwa afya njema ya klabu.
 
O

option

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
1,764
Likes
859
Points
280
O

option

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
1,764 859 280
Kitendo cha kutungua TV nyumbani kwake na kuiacha familia bila TV ili aje awaoneshe picha waandishi wa habari nayo sio sawa
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,124
Likes
39,880
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,124 39,880 280
Huyu jamaa kwenye ukweli hapepesi macho, bila shaka members wa kamati tendaji ya Simba mpo Humu, hebu ufanyie kazi ushauri wa huyu Ndg kwa afya njema ya klabu.
Shukran Mkuu na tupo pamoja. Haji Manara sasa anaboa na anaharibu tumemchoka kwakweli.
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
20,018
Likes
1,639
Points
280
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
20,018 1,639 280
Tatizo la kisaikolojia.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,315
Likes
10,149
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,315 10,149 280
Kitendo cha kutungua TV nyumbani kwake na kuiacha familia bila TV ili aje awaoneshe picha waandishi wa habari nayo sio sawa
Kafanyaje?
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,519
Likes
16,709
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,519 16,709 280
Nimrmchoka Manara na mpira wa mdomoni. Kila kukicha kulalamika tu!! Apigwe laifu ban.
 
D

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
2,350
Likes
471
Points
180
D

delako

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2012
2,350 471 180
Manara anataka warudi taifa kupiga penati yao baada ya Kevin yondan kuunawa mpira.
 
ziba

ziba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Messages
372
Likes
398
Points
80
Age
30
ziba

ziba

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2016
372 398 80
Huyo maminara ana matatizo makubwa mawili ulemavu wake was ngozi umeharibu mpaka akili yake so ni wa kumpuuza tu
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
7,263
Likes
8,337
Points
280
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
7,263 8,337 280
Inawezekana Msemaji wa Simba, Haji Manara akaingia matatizoni na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limetaka ufafanuzi kutokana na kauli zake dhidi ya waamuzi waliochezesha mechi ya Yanga dhidi ya Simba.

Taarifa zinaeleza, tayari TFF wamesukuma barua kwenda Simba wakitaka ufafanuzi.

“Kuna barua imepelekwa kutaka kupata ufafanuzi kwa kuwa zinaonekana ni kauli za kichochezi,” kililieza chanzo.

Lakini mmoja wa maofisa wa Simba ameiambia SALEHJEMBE: “Hatujapokea barua yoyote, acha tuendelee kusubiri tutaona itakavyokuwa.”

Manara anatuhumiwa kuwashambulia waamuzi waliochezesha mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 na Yanga kuonyesha soka safi zaidi ya Simba hasa katika ushambulizi.

Lakini Manara alilalamika Simba kunyimwa penalti likiwemo lile tukio la Kelvin Yondani kuunawa mpira wakati akijaribu kuondosha hatari langoni mwake.
Manara tumsamehe bure wandugu. ni inferiority complex kutokana na ile hali yake, which should be understandable. he's a nice fella otherwise.

ushauri kwa Simba....Manara mpeni jukumu lingine halafu wekeni mtu mwingine kwenye nafasi ya usemaji wa klabu ambayo ni nafasi nyeti kwa ajili ya ku-promote image ya klabu.
 
S

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
1,083
Likes
282
Points
180
S

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2014
1,083 282 180
manara mzee wa mipasho.ila litu kimoja mnasahau huyu manara hawezi kwenda kwenye press hivyo bila klabu na uongozi wote kumtuma baada ya kumwagiza akaseme kitu gani,viongozi wa simba wanajua,mpaka wafadhili wao wanajua nini angeenda kusema likiwemo hilo la kuiandikia barua TFF kuwa wanaonewa sana simba.adhabu isimlenge msemaji iende mbali zaidi
 
kluger

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,868
Likes
1,396
Points
280
Age
38
kluger

kluger

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,868 1,396 280
Inawezekana Msemaji wa Simba, Haji Manara akaingia matatizoni na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limetaka ufafanuzi kutokana na kauli zake dhidi ya waamuzi waliochezesha mechi ya Yanga dhidi ya Simba.

Taarifa zinaeleza, tayari TFF wamesukuma barua kwenda Simba wakitaka ufafanuzi.

“Kuna barua imepelekwa kutaka kupata ufafanuzi kwa kuwa zinaonekana ni kauli za kichochezi,” kililieza chanzo.

Lakini mmoja wa maofisa wa Simba ameiambia SALEHJEMBE: “Hatujapokea barua yoyote, acha tuendelee kusubiri tutaona itakavyokuwa.”

Manara anatuhumiwa kuwashambulia waamuzi waliochezesha mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 na Yanga kuonyesha soka safi zaidi ya Simba hasa katika ushambulizi.

Lakini Manara alilalamika Simba kunyimwa penalti likiwemo lile tukio la Kelvin Yondani kuunawa mpira wakati akijaribu kuondosha hatari langoni mwake.
Wanaotakiwa kuomba ufafanuzi kuhusu shutuma dhidi ya marefa si TFF, bali chama cha marefa, tuwe na mipaka, hivi vyama ndiyo maana hatuendelei
 
kluger

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,868
Likes
1,396
Points
280
Age
38
kluger

kluger

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,868 1,396 280
Safari hii TFF wakimfungia Msemaji wa Simba SC Haji Manara nitawapongeza tena sana tu kwani japo Mimi ni mwana Simba SC tena ' Kindakindaki ' sijapendezwa na maneno yasiyo ya Kiuanamichezo ambayo Manara ameyaongea jana mbele ya Press pale Klabuni.

Madai yote aliyoyasema jana hayana nafasi wala tija hasa katika Soka la ' Ushindani ' kama la sasa. Labda Haji Manara amesahau kwamba hayo madai yake dhidi ya Mwamuzi kuna muda ndiyo yanafanya mchezo wa mpira uwe na raha kwani yanasaidia kuleta ' ubishani ' wa Kiuanamichezo kitu ambacho ni ' afya ' pia kwa mchezo wenyewe.

Nina mengi ya kusema na kumsema Msemaji wangu Haji Manara ila itoshe tu kusema kwamba kama ' Watani ' zetu Yanga SC waliona mbali na kumuondoa Msemaji wao ' Mswahili ' Jerry Muro na kumleta Msemaji mstaarabu, makini, mweledi na mtulivu Dismas Ten nadhani ni wakati sahihi pia kwa Klabu ya Simba upesi sana kuachana na Haji Manara kwani amezidisha sasa ' uhuni ' na ' uswahili ' wake.

Referee nae ni ' Binadamu ' hivyo kuna makosa ya ' Kibinadamu ' ambayo ukiwa tu muungwana na mwanamichezo wala hayakupi taabu / shida kuyajua na unayavumilia maisha yanaenda. Kama kuna ' Referee ' ambaye Tanzania kwa sasa tumepata na tunatakiwa kumtia moyo, kumuamini na kumpa uzoefu zaidi basi ni huyu Heri Sasii aliyechezesha huo ' mtanange ' wa Simba na Yanga.

Mwisho nimtake tu Haji Manara awe mstaarabu na makini kama hizo ' Suti ' ambazo huwa anazivaa siku hizi vinginevyo atakuwa anazilalilisha tu hizo ' Nguo ' ambazo kiukweli Mtu yoyote akiwa anazivaa iwe isiwe lazima tu ataonekana yupo vizuri Kichwani na hana ' Uhuni ' na ' Uswahili '.

TFF na Kamati ya Maadili yenu Mimi GENTAMYCINE nitawaunga mkono kwa 100% juu hatua zozote zile za Kinidhamu mtakazozichukua kwa Msemaji wangu wa Simba SC Haji Manara ili liwe fundisho kwa ' Wapuuzi ' wengine. Wewe ligi ndiyo Kwanza bado iko ' mbichi ' hivi unaanza ' kulialia ' hivi mzunguko wa pili si ndiyo unaweza kuitisha kabisa Press na ' ukawanyea ' Waandishi Mkutanoni kabisa kwa ' Kihoro ' chako?

Huwa najizuia sana kumsema / kumnanga / kumchamba Haji Manara Msemaji wangu wa Simba SC ila kwa hili wala simbakishi na simwonei haya / aibu na namwambia ' mubashara ' kabisa kwamba Wana Simba SC makini kama Sisi tumeridhika na mechi yetu na Yanga SC na sasa tunajipanga kwa mechi zetu mbili za Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya City na Prisons hivyo atuondolee huo ' upuuzi ' wake.

Amenikera sana huyu Jamaa na nimemchoka mno.
Adhabu mnayoijua ijua ni kufungia tu??
Huwezi kuwa shabiki wa simba wewe. Kuhusu refa unasema ni binadamu anaweza kukosea, je Manara ye ni Simba mnyama au ? Ukija hapa kutoa mawazo onyesha mawazo ya kujenga na acha uchonganishi wa hizo pande mbili. Haya aliyekupa usemaji wetu wana simba ni nani?? Eti sisi tumeridhika tunajipanga na mechi mbili .....! Labda wewe na familia yako

Ukae ukijua Manara haitishi press conference bila idhini ya uongozi wa klabu

Wapuuzi wote humu mna mshambulia Manara kama yeye binafsi, si sawa. Yupo kazini akiongea anawakilisha klabu na si mawazo yake binafsi.

Kama mna chuki binafsi naye mumtafute kwny pages zake za social media na si kwenye taarifa za klabu zenye idhini na baraka zote za klabu.

Jipange !!!
 
Forum statistics

Threads 1,251,875
Members 481,931
Posts 29,788,951