TFF, wanoshangilia walipe viingilio halafu wanaokula bata wasilipe -- hii ni haki kweli?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,913
TFF wamekuja na utaratibu wa kushangaza kidogo

Sisi tunaoshangilia na kuipatia hamasa timu yetu ya taifa tunatakiwa kulipa VIINGILIO ila wale ambao hawashangilii Wala kutoa hamasa ndio hawatakiwi kulipa VIINGILIO

Wenzetu wasiotoa VIINGILIO watakaa vip na vvip wakila Bata na kugonga cheers huku SS tukisisitizwa tushangilie kwa hamasa na VIINGILIO tumetoa

KARIA WALLACE HUJATUTENDEA HAKI KABISA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Si na wewe uangalie kama sisi kupitia Azam Sports HD! Yaani ni full VIP! Unaangalia ukiwa home, tena kwa malipo ya tsh. 20,000/= tu kwa mwezi, huku ukiwa umekaa kwenye sofa na kinywaji chako baridiii.
 
Back
Top Bottom