TFF walipeni makocha madai yao mpaka mshtakiwe FIFA?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa Madai yao? Kwani TFF haina bajeti ya Makocha ?Kocha Mtanzania Charles Boniface Mkwassa nae sijui kama kalipwa kwani alikuwa anaidai TFF.Tunaushauri Uongozi wa TFF iheshimu mikataba ya watendaji wake,Tanzania kushtakiwa FIFA na kulitia aibu Taifa.
 
Kazi yao kujaza matumbo yao tuu, sijui hela hua wanapeleka wapi

Soka letu linahitaji watu sahihi watukwamue,
 
hizo hela za kuwatuza wachezaji zinapatikana ila kumlipa kocha hazipo duh! kweli siasa ndo inaharibu mpira wetu.
 
Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa Madai yao? Kwani TFF haina bajeti ya Makocha ?Kocha Mtanzania Charles Boniface Mkwassa nae sijui kama kalipwa kwani alikuwa anaidai TFF.Tunaushauri Uongozi wa TFF iheshimu mikataba ya watendaji wake,Tanzania kushtakiwa FIFA na kulitia aibu Taifa.
unaongelea makocha wa nje wakati marefa wa ligi hawakulipwa toka msimu uliopita hadi leo....wakidai wanatishiwa
 
...mzaha mzaha hutumbua usaha
Amunike asipolipwa tutamshauri akafungue kesi kama yule mkulima wa sauzi
 
Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa Madai yao? Kwani TFF haina bajeti ya Makocha ?Kocha Mtanzania Charles Boniface Mkwassa nae sijui kama kalipwa kwani alikuwa anaidai TFF.Tunaushauri Uongozi wa TFF iheshimu mikataba ya watendaji wake,Tanzania kushtakiwa FIFA na kulitia aibu Taifa.
Uswahili mwingi kwa Karia pale Karume.
 
karia na wenzake ni wahujumu hata pesa ya ubingwa wa kombe la AZAM hawakuwalipa Mtibwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom