mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa Madai yao? Kwani TFF haina bajeti ya Makocha ?Kocha Mtanzania Charles Boniface Mkwassa nae sijui kama kalipwa kwani alikuwa anaidai TFF.Tunaushauri Uongozi wa TFF iheshimu mikataba ya watendaji wake,Tanzania kushtakiwa FIFA na kulitia aibu Taifa.