TFF walionunua tiketi leo mnawafanyaje kurudisha hela zao please??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,582
Kutokana na Chad kujitoa,

Tunaomba TFF ikishirikiana na waziri Nape watoe msimamo walionunua tiketi za mechi leo wanarudishiwaje pesa zao

Kumbukeni kuna mechi zijazo msijehisi amuwezi rudisha hao hao awatoonekana tena
 
Mtuhurumie tuliokwishaandaa tiketi zetu bandia, sijui tunafanyaje! Hebu TFF ulizeni tena kwa hao jamaa kama wanakuja au la.
 
hivi bado kuna watu mnao shabikia kichwa cha mwendawazimu' taifa star' kweli bongo wajinga hawaishi unatoa pesa kuangalia chandim!!!!
 
Daah kitambo mno kucheki hizi za mchangani,afu alietulaani bado yu hai kwann asifute kauli akingali hai?? Maana akishatoweka ndo basi tena hii laana itaendelea hata kizazi cha tatu....
 
Back
Top Bottom