Tff;waamuzi wa ligi daraja la kwanza arusha bomu

Mar 6, 2010
74
0
Yawezekana ujapata nafasi ya kuangalia mpira wa ligi daraja la kwanza hapa arusha kwa kweli inasikitisha sana na hasa ni pale baadhi ya viongozi wa timu husika wanapochukua jukumu la kumlinda refa na waamuzi wakati wa kuingia na kutoka hasa timu za arusha zinapocheze;....
ni swala la aibu sana kama timu inacheza mpira mzuri lakini kwa ushabiiki inanyimwa haki zao...majuzi nilikuwa naangalia timu ya coastal ikicheza huku refarii akiwanyima penalti zaidi ya mbili wazi...mbaya zaidi kuna majuzi kulikuwa na mechi ya TMK na AFC kwa kweli ulikuwa na upuuzi mtupu.......marefa wanafanyaa kazi ya kuharibu soka huku watu wakitoa hela zao kuangalia starehe ambayo aina maana....tunaomba marefarii wawe makini kwa hili

TFF waamuzi wachunguzwe;hayamatatizo yanatia aibu ukifika unasikia ati mkuu wa mkoa wa arusha kaamuru piga ua timu ya afc na nyingine moja ya arusha lazima ziingir huu ni uhuni;kama hivyo aje chezesha yeye basi;tuache siasa kwenye mchezo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom