TFF ni mahali patakatifu sio timu ya kufanyia majaribio ya soka!

Kamaaaa una pingamizi lolote kwa mgombea wa tff muda ndio huo ikipita 27june awapokei tena (angalizotu)..

Baada yahapo wataendelea na usaili ambapo jun 29 wahusika wataleta vyeti hslisi vikaguliwe na baadae wataendelea na mengineyoo

Mtaarifu na mwenzio
Nina pingamizi dhidi ya malinzi
 
HAHAHAAAAAA KAAAIBIKA CLINTON HILARY NA MITANDAOO YAKO SEMBUSE MAYAI..MSUBIRI TUNAMTOA KIBRA HUYOO..MAPEMAA KABISAA
Naona unaongea huku unatetemeka kila kona ya mwili wako. Mayay kawashika pabaya huu mwaka
 
Acheni Nyege Mshindo...Malinzi akasimamie soka kwenye chama cha soka cha mkoa wake apishe wengine, hakuna alichokifanya cha maana zaidi ya kurudisha kiwango cha soka nyuma...ni sawa na mchezaji aliyeingia tokea benchi na kwenda kujifungisha!
 
Mihemko sio mizuri hasa unaongea mbele za malijali.
@ MalinziForSecondTerm.
 
Back
Top Bottom