Tff ndio kirusi cha kuua maendeleo ya soka na kufanya klub za ligi kuu kuwa maskini

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Mkataba wa uzamini wa ligi kuu kati ya tff na vodacom unakataza timu nyingine kuzaminiwa na kampuni nyingine ya simu ..na kwa upande mwingine fedha zenyewe za udhamini kwa timu ni kama hakuna kitu.. Mfano south africa kama sikosei mzamini mkuu ni kampuni ya simu ya mtn lakini kuna timu pia zinazaminiwa na kampuni ya vodacom ambao huku kwetu wanabana..
Ushauri kwa tff kuweni kisasa zaidi ndugu zangu msiwe chanzo cha kuua soko letu kwa sababu timu zinahitaji wazamini/..

Karibu kwa mtazamo wako zaidi
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom