TFF na Bodi ya Ligi Tanzania msitake Kutusababishia 'Kilazima' kurudia tabia zetu za Kuwapiga 'Waaumuzi' Mpirani kwani inakeraEndel

HIVI JAMANI REFA ANAFANYA MAAMUZI KWA KUTUMIA KAMERA AU?

YEYE AMEAMUA KULINGANA ALICHOKIONA WAZI KWA MACHO YAKE...

NINYI MNASEMA MMEANGALIA MARUDIO KWA UMAKINI...HUO MUDA WA KUANGALIA REPLAY REFA ANAUTOA WAPI NA HAKUNA VAR...?
 
GENTAMYCINE nimerudi tuzungumze vyema kuhusu hawa Kunguru wetu hapa Tanzania.

Mtu kapigwa ngumi ya wazi uwanjani wa masumbwi.

Mtu anashika mpira kabla ya refa kupiga kipenga kunguru anaanzisha kama foul bila kupewa yellow card.

Mchezaji anamkanyaga kiatu tumboni refa anaanzisha mpira bila mkude kupewa yellow card.

Kuna mengi ila hao ndio kunguru wetu wanahitaji mabadiriko makubwa.
Ndugu subiri kipigo/sare ya Ruvu shooting kwanza kesho ndio tutazungumza!
 
Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira' zangu hasa zipo kwa 'Mwamuzi' kwa Kutoa 'Penati' ya 'Uwongo' kwa Yanga SC.

Rais wa TFF Karia, Makamu wako Nyamlani, Katibu Kidau na Msemaji wa Serikali Dk. Abbas najua mnanisoma mno hapa JF kuweni makini. Inakera!
Pumba
 
Hivi ni nani aliyekuwa anamtetea mwamuzi Shomari Lawi ,kwa madudu aliyoyafanya kwenye game ya Prison vs Simba, kama si huyu huyu GENTAMYCINE?

Utopolo wote walikuunga mkono siku ile ila leo hapa hawako upande wako kabisa, na nilijua tu kwamba haya yangetokea.

Ulinishangaza sana siku ile.
Huyo a na tafuta kiki tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom