TFF ni ile ya Tanzania Fertilizer Factory au ipi hyo unayomaanisha. Mwaka wa viwanda huu hadi vya mbolea.Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu...
Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana,
Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu??Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu...
Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana,
Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
EPL sponsors hawa hapa:Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu??
Tumia hata akili kidogo tu kuwaza FA unailinganisha na TFF maisha yako kama hakuna mzamin no zawadi.Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu??
Sasa hiyo ligi ya watu usije kufananisha na huku. Wenzetu wanaweka mipango kwa ajili ya ligi ya msimu ujao mapema sana.EPL sponsors hawa hapa:
Barclays, Carling, Cadbury, Nike, Tag Heuer and EA Sports.