TFF mdhamini ligi kuu 2019/2020 vipi?

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,918
Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu...

Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana,

Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
 
TFF ni ile ya Tanzania Fertilizer Factory au ipi hyo unayomaanisha. Mwaka wa viwanda huu hadi vya mbolea.
 
Huyu Wallace Karia na kile kikundi chake ni kazi sana kuwaelewa. Kama hawajitambui vile na wamekuwa wakichukulia mambo kwa wepesi sana.
 
Labda iwe kampuni au shirika hewa. Kudhamini ligi ya Msomali yahitaji uwe kichaa.
 
Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu...

Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana,

Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu??
 
Hivi kweli timu zimeshindwa kushawishi makampuni makubwa kama pepsi cocacola halotel tigo voda kuwa udhamini
 
Back
Top Bottom