TFF, leo Yanga lazima ashinde ili akatuwakilishe kimataifa

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,691
3,858
Habari wana futiboli wenzangu
Mimi ni Simba damu ila naona umuhimu wa leo Yanga kushinda ili akachukue hili kombe akawakilishe kimataifa mnajua kwanini.

Simba tayari kashakata tiketi ya kucheza kimataifa so kama atashinda leo hiyo itakuwa imeipeleka Namungo moja kwa moja kucheza kimataifa kitu ambacho sio sahihi, hawa Namungo wataanza kutusumbua nauli kwenda Senegal, Sudan na nk. halafu waende huko wapigwe 10 bila.

TFF fanyeni kila linalowezekana leo Yanga ishinde kwa maslahi mapana ya Taifa
Wako mtiifu kwa ujenzi wa Taifa
Baraka bb, Simba damu

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Hao yanga wakienda kimataifa wanafanyaga nini zaidi ya kutuhaibisha.
Asipoenda wengine wataenda pia wana haki ya kutuwakilisha. Kila timu ivune iilichopanda.
hapana mkuu unakumbuka kilichotokea kwa mtibwa kushindwa kusafir sababu ya kipato had wakapigwa fain na caf,

hizi timu za bongo kusafir mkoa had mkoa tu huwa wanalia lia je wataweza kwenda ghana misri nk

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Hao yanga wakienda kimataifa wanafanyaga nini zaidi ya kutuhaibisha.
Asipoenda wengine wataenda pia wana haki ya kutuwakilisha. Kila timu ivune iilichopanda.
kweli mkuu wasije enda wapigwe 5-5-5-3 kama wenzao wanadharirisha mpira wetu huwezi pigwa 5 mara 2,3
 
Hapo kuwashawishi Tff wawabebe sidhani kama upo sahihi wapambane washinde ili uwakilishi wao uwe wa uhakika.
Mbona mnahangaika? Lini tff iliwahi kaa upande wetu msitafute sababu hatutaki msaada wala visingizio sisi tunawakanda tu!
 
Habari wana futiboli wenzangu
Mim ni simba damu ila naona umuhimu wa leo yanga kushinda ili akachukue hili kombe akawakilishe kimataifa mnajua kwann,

Simba tayar kashakata tiketi ya kucheza kimataifa so kama atashinda leo hyo itakuwa imeipeleka Namungo moja kwa moja kucheza kimataifa kitu ambacho sio sahihi,,, hawa Namungo wataanza kutusumbua nauli kwenda senegal sudan na nk. alfu waende huko wapigwe 10 bila.

TFF fanyeni kila linalowezekana leo Yanga ishinde kwa maslahi mapana ya Taifaa
wako mtiifu kwa ujenzi wa Taifa
Baraka bb simba damu

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
wewe ndio shabiki wa simba wa kwanza mjinga kumuona.. hivi timu zingine zitaanza kuwakilisha nchi lini kama hazipati exposure kisa eti yanga watatuwakilisha vizuri?Kuna timu hapo juzi juzi tu ilituwakilisha, ilipigwa kumi?
 
Back
Top Bottom