TFF kuna cha kujifunza kutoka NDONDO CUP, leo nlimuona Makonda pia.

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,663
Kila siku tumekuwa tunajiuliza kwanini watanzania wengi wanafuatilia ligi ya uingereza kuliko ligi yoyote duniani. Jibu ni moja tuu..inatangazwa sana..lakini sio utangazaji kama tunavyotangaziwa vifurushi vya tigo ama voda..bali ni branding kwa wachezaji. Ligi kuu tanzania bara imezidiwa ujanja na NDONDO CUP kwani toka mwezi uliopita vibanda vingi vinaonyesha mpira wa miguu ndondo.. lakini siku ya leo kila mtu hapa mjini alikuwa akizungumzia Kauzu fc na aina yao ya ushangiliaji, mbwembwe na kila kitu. Nlichojifunza leo kauzu fc vs temeke market.. wanaotangaza hiyo ligi wameachana na kuonyesha mpira ila wameamua kuonyesha ushangiliaji dhidi ya hivi vikundi viwili. Na bado hiyo ni nusu finally bado hawajacheza finally..TFF wasipokuwa smart people will eventually believe ligi kubwa tanzania ni Ndondo cup inayosimamiwa na clouds. Toka michuano ianze wanahudhuria wasanii, wafanyabiashara, wanawake, mawaziri na leo hii nimemuona mkuu wa mkoa wa Dsm.
1469376208658.jpg
 
Kila siku tumekuwa tunajiuliza kwanini watanzania wengi wanafuatilia ligi ya uingereza kuliko ligi yoyote duniani. Jibu ni moja tuu..inatangazwa sana..lakini sio utangazaji kama tunavyotangaziwa vifurushi vya tigo ama voda..bali ni branding kwa wachezaji. Ligi kuu tanzania bara imezidiwa ujanja na NDONDO CUP kwani toka mwezi uliopita vibanda vingi vinaonyesha mpira wa miguu ndondo.. lakini siku ya leo kila mtu hapa mjini alikuwa akizungumzia Kauzu fc na aina yao ya ushangiliaji, mbwembwe na kila kitu. Nlichojifunza leo kauzu fc vs temeke market.. wanaotangaza hiyo ligi wameachana na kuonyesha mpira ila wameamua kuonyesha ushangiliaji dhidi ya hivi vikundi viwili. Na bado hiyo ni nusu finally bado hawajacheza finally..TFF wasipokuwa smart people will eventually believe ligi kubwa tanzania ni Ndondo cup inayosimamiwa na clouds. Toka michuano ianze wanahudhuria wasanii, wafanyabiashara, wanawake, mawaziri na leo hii nimemuona mkuu wa mkoa wa Dsm.View attachment 370402
Ivi ile ya kubeba msalaba umeielewa mkuu? Hii imekaaje?
 
mkuu unawaongelea hawa tff wazee wa rushwa na upangaji matokeo? hawana ubunifu wowote,yaani ukitaka uone maajabu yao ni pale viingilio huku kwenye tiketi bei juu lkn we kata tiketi ya bei ya chini chini kabisa,alafu kule milangon kwenye korido unatoa buku then unakaa na mtu aliyelipia tiketi ya 10,000+!! yaan tff ni wa ovyo kbs:(
 
Kauzu Fc ni hatare kwa ushangiliaji.
Nawaona yanga wanawaza kukodisha wakashabikie mechi yao zidi ya Mediama
 
Hilo la
mkuu unawaongelea hawa tff wazee wa rushwa na upangaji matokeo? hawana ubunifu wowote,yaani ukitaka uone maajabu yao ni pale viingilio huku kwenye tiketi bei juu lkn we kata tiketi ya bei ya chini chini kabisa,alafu kule milangon kwenye korido unatoa buku then unakaa na mtu aliyelipia tiketi ya 10,000+!! yaan tff ni wa ovyo kbs:(
Hilo la watu kuhongwa kwenye makorido tusiwalaumu TFF, hili ni tatizo la watanzania kutoa na kupokea rushwa.
Watu walioaminiwa na tff kusimamia hayo mapato ndo sio waaminifu
 
Back
Top Bottom