TFF Itavunja MUUNGANO? TUISHITAKI KWA WANANCHI

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Je TFF haijali watu waliokufa zanzibar?
TFF haina utaifa?

Masikitiko yangu kwa TFF kama muendeshaji wa ligi ya "VODACOM LIGI" hakujali siku ya msiba wa kitaifa
baada ya kuziruhusu timu zinazozaminiwa na vodacom kuendelea na ligi.

Hizi taasisi zilikosa utaifa kwa kukosa kujumuika na watanzania wengine

kwanini Hizi kampuni zinakuja wakati wa maafa?

Yanga na Ruvu walicheza jumamosi (wanaburudika wananchi wakiwa wamekufa majini)
Simba na Azam walicheza jana( huku maiti zikizidi kuongezeka)

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabariki Watanzania
 
Pamoja na masikitiko kwa ajili ya ajali kubwa ya "Spice" lakini hilo halina maana shughuli zote zisimame.
Bahati mbaya wazanzibari wamekwisha onyesha kutopenda kwao kuwa karibu sana na wenzao wa Tanganyika.
Msisahau kuwa sherehe za Tanganyika na shughuli zote muhimu bado zitaendelea sambamba na kutoa misaada inayotakiwa katika ajali hiyo.
 
Naomba unifahamishe na CCM walizinduwa kampeni zao kule Igunga lini? wacha unafki wewe mpumbavu kabisa bin zuzu.
 
Mbona watu mamekwenda kazini leo kama thatz what you are trying to insinuate here?
 
hili suala wengi wanalichukulia ki prpaganda tu hawaliangalii kiundani na kwa mapana
 
Pamoja na masikitiko kwa ajili ya ajali kubwa ya "Spice" lakini hilo halina maana shughuli zote zisimame.
Bahati mbaya wazanzibari wamekwisha onyesha kutopenda kwao kuwa karibu sana na wenzao wa Tanganyika.
Msisahau kuwa sherehe za Tanganyika na shughuli zote muhimu bado zitaendelea sambamba na kutoa misaada inayotakiwa katika ajali hiyo.

Sasa kwanini munalazimisha Muungano. au ndio Mvungano.
 
kwa nini iwe TFF na sio mafuta yawezayo kuvunja muungano????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom