TFF hasira kwa Yanga nini tatizo

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
inashangaza aliokuwa mwandishi wa habari leo msemaji wa tifutifu a.k.a kupe eti anaelezea uharibifu wa fensi ya uwanja wa taifa kama wa tifutifu wao wasubiri wenye uwanja watoe gharama za uharibifu ndio kupe watangaze siku ya mechi alilalamika eti uwanja umejaa kupita idadi eti yanga wamefanya kosa nini kinawasibu kupe?
 
Halafu hao tff hawahusiki na uwanja, eti baada ya mechi walibaki hadi saa tatu usiku kuangalia uharibifu, kweli wana njaa hao
Na Yanga ime waweza kwel kwl
 
Yanga walipe sio kulea ujanja ujanja kama mlitaka watu waingie bure si mgewapeleka kule Kaunda kwenye mafuriko.
 
inashangaza aliokuwa mwandishi wa habari leo msemaji wa tifutifu a.k.a kupe eti anaelezea uharibifu wa fensi ya uwanja wa taifa kama wa tifutifu wao wasubiri wenye uwanja watoe gharama za uharibifu ndio kupe watangaze siku ya mechi alilalamika eti uwanja umejaa kupita idadi eti yanga wamefanya kosa nini kinawasibu kupe?
Wamekosa mapato
 
Yanga walipe sio kulea ujanja ujanja kama mlitaka watu waingie bure si mgewapeleka kule Kaunda kwenye mafuriko.
Mpira ni wa TFF lakini uwanja ni wa serikali kwahiyo serikali ndiyo wanapaswa kuidai matengenezo au malipo.
 
Malinzi kila mara tunamwambia kuwa soka limemshinda, haliwezi, hajui, hataki kujua na hatojua. Akubali kushauriwa mambo yatakwenda vema.
Cc. Jamal Malinzi
 
Uwanja wa serikali, uharibifu umefanywa na Yanga, msimamizi wa mashindano tff, sasa iweje tff isihusike hapo? tff watabeba lawama kwa tatzo lolote litalotokea kwenye soka la bongo maana wao ndo wasimamizi. Sasa Yanga isijitoe fahamu kujichukulia maamuzi tu wakati yanaiathiri hata tff
 
si sahihi tff kulalamika kwani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo tuliona jinsi tff ilivyokuwa ikizikomalia klabu nyingine zifanye uchaguzi lakini ikikaa kimya kwa yanga mpaka bmt ilipoingilia kati, mpaka sasa bado ngoma na tambwe hawajaadhibiwa kutokana na makosa waliyofanya wakati wa ligi pia timu kubebwa na waamuzi lakini tangia mashindano yaanze tumeshuhudia wachezaji wengi wa yanga wakipwa kadi ama za njano au nyekundu pia maneno yasiyo na staha ya nsenaji wa yanga wao ndio wameifikisha yanga hapo walipo
 
Back
Top Bottom