TFF anzieni hapa ugomvi wa mashabiki wa Simba na Yanga

Covid-19

Senior Member
Mar 2, 2020
162
364
Kumekuwa na tatizo la mashabiki kupigwa uwanjani hasa wa Simba waingiapo mechi za Yanga. Kuhusu uchunguzi wa sababu za vurugu hizo TFF anzieni hapa.

1/Wapo mashabiki wa timu moja ni wakorofi sana ila wamejipa jina la unyonge. Mashabiki hawa wanapenda ku attack personally lakini wakipigwa watasema club yao imepigwa. Hawa wana attack watu personally kwa matusi lakini wakipigwa au kudhihakiwa wanaenda kujificha nyuma ya kivuli cha Club, dini au ulemavu wao.

2/TFF waangalie pia namna gani wanavilea hivi vilabu, je haki inatendeka wao wanapotoa maamuzi kwa vilabu hivyo? Tumeona mara kadhaa klabu moja kupewa adhabu wakati nyingine hazipewi kwa makosa yanayofanana. Hii inapelekea kundi moja kuona haina haki kwa baba yao hivyo kuanza kujichukukulia sheria mikononi.

Note:
Simba na Yanga ni watani wa jadi wenye uhasimu mkubwa tangu zamani, kama watu wanajiua endapo timu moja inafungwa watashindwa kukuua wewe pale hisia za namna hiyo zinapowapata? Hivyo tujadili namna nzuri ya kuingia kwenye mechi za watani hawa na kuheshimu hisia za watu.
 
Umeongea pumba
wote tunajua wanaofanya fujo ni yanga na matukio haya yanajirudia kuanzia siku ya wananchi walifanya fujo na jana walirudia hicho kitendo kusema watu wanafanya fujo na kujificha kwenye udini na ulemavu ni uongo mkubwa maadamu mmeanza sisi tutamaliza
 
Umeongea pumba wote tunajua wanaofanya fujo ni yanga na matukio haya yanajirudia kuanzia siku ya wananchi walifanya fujo na jana walirudia hicho kitendo kusema watu wanafanya fujo na kujificha kwenye udini na ulemavu ni uongo mkubwa maadamu mmeanza sisi tutamaliza
Unakumbuka sakata la Manara na Jerry Murro? Manara anawaita hadi waandishi wapumbavu lakini akiitwa yeye atakuambia sababu ya ulemavu wangu!!
 
Katika kukua kwako ulishaona mashabiki wa simba na yanga wanapigana, mnatoka maporini mnajifunza ushabiki ukubwani ndio mnakimbilia kupigana
 
Manara amekuwa akiidhihaki na kuidharau Yanga... Amepitiliza kabisa kwenye Level ya UTANI ameanza KUWADHALILISHA YANGA, WACHEZAJI WAO, WAMILIKI, n.k.... inafika muda nembo ya Yanga anaweka CHURA pale??? Huyu ndiye anayesababisha CHUKI kujaa kifuani mwa wana Yanga. Kwani Simba na Yanga zimeanzishwa leo?? Kwani utani wa Jadi umeanza leo???? KWANINI KUPIGANA KUANZE LEO????
 
Katika kukua kwako ulishaona mashabiki wa simba na yanga wanapigana, mnatoka maporini mnajifunza ushabiki ukubwani ndio mnakimbilia kupigana
Wanapigana sana sema kwa sasa technology ndio inafanya habari isambae... Kwenye vibanda umiza daily Wanapigana ... Ugomvi wa shabiki wa Yanga na Simba usiwe ugomvi wa Yanga na Simba.
 
Unakumbuka sakata la Manara na Jerry Murro? Manara anawaita hadi waandishi wapumbavu lakini akiitwa yeye atakuambia sababu ya ulemavu wangu!!
Ukisema waandishi wapumbavu hiyo sio personal attack, ukisema covid-19 ni mpumbavu hiyo ndo personal attack. Tutajie ni mtu gani marana alimu attack personally. Katika utani mwingi wa Manara anaitania Yanga sio mtu binafsi. Mbona nyie Utopolo mmeitania sana simba Mara wa matopeni, mikia, mbumbumbu nk na mnaenda uwanjani kwenye mechi za simba hamfanywi chochote.
Chanzo cha hizi vunjo za Utopolo ni ushamba tu wa baadhi ya mashabiki wa Utopolo fc wa kujiona wao hawastahili kutaniwa, ila wao ndo wataniwe. Ukipenda kutania kubali kutaniwa. Mpira sio vita Nyie baadhi ya mashabiki wa Utopolo. Maana sidhani ka viongozi wenu wa Utopolo wanafurahia hayo mnayofanya.
 
Manara amekua akiidhihaki na kuidharau Yanga... Amepitiliza kabisa kwenye Level ya UTANI ameanza KUWADHALILISHA YANGA, WACHEZAJI WAO, WAMILIKI, n.k.... inafika muda nembo ya Yanga anaweka CHURA pale??? Huyu ndiye anayesababisha CHUKI kujaa kifuani mwa wana Yanga. Kwani Simba na Yanga zimeanzishwa leo?? Kwani utani wa Jadi umeanza leo???? KWANINI KUPIGANA KUANZE LEO????
Hujui unachoongea. Hivi nyie mnapowatania simba kua ni mikia au mbumbumbu wanawafanyia fujo.
Mbona nyie brand ya simba mnaitania sana. Msichukie kwenye utani mkitaniwa. Huo ndo mpira na ndo utani wa jadi
 
Kumekuwa na tatizo la mashabiki kupigwa uwanjani hasa wa Simba waingiapo mechi za Yanga. Kuhusu uchunguzi wa sababu za vurugu hizo TFF anzieni hapa.

1/Wapo mashabiki wa timu moja ni wakorofi sana ila wamejipa jina la unyonge. Mashabiki hawa wanapenda ku attack personally lakini wakipigwa watasema club yao imepigwa. Hawa wana attack watu personally kwa matusi lakini wakipigwa au kudhihakiwa wanaenda kujificha nyuma ya kivuli cha Club, dini au ulemavu wao.

2/TFF waangalie pia namna gani wanavilea hivi vilabu, je haki inatendeka wao wanapotoa maamuzi kwa vilabu hivyo? Tumeona mara kadhaa klabu moja kupewa adhabu wakati nyingine hazipewi kwa makosa yanayofanana. Hii inapelekea kundi moja kuona haina haki kwa baba yao hivyo kuanza kujichukukulia sheria mikononi.

Note:
Simba na Yanga ni watani wa jadi wenye uhasimu mkubwa tangu zamani, kama watu wanajiua endapo timu moja inafungwa watashindwa kukuua wewe pale hisia za namna hiyo zinapowapata? Hivyo tujadili namna nzuri ya kuingia kwenye mechi za watani hawa na kuheshimu hisia za watu.
Umeongea ki kasuku mno. Labda sio mwelewa wa hili tatizo au unajaribu kuilinda timu fulani au una kiwango kiduchu cha elimu au ume "base" kwenye MHEMKO. Ungetulia ukaweka hoja sababu na vithibitisho UNGEELEWEKA
 
Unakumbuka sakata la Manara na Jerry Murro? Manara anawaita hadi waandishi wapumbavu lakini akiitwa yeye atakuambia sababu ya ulemavu wangu!!
Inaelekea wewe ni mwoga sana. Hata issue ya ukweli unaiogopa. Shame on you
 
Manara amekua akiidhihaki na kuidharau Yanga... Amepitiliza kabisa kwenye Level ya UTANI ameanza KUWADHALILISHA YANGA, WACHEZAJI WAO, WAMILIKI, n.k.... inafika muda nembo ya Yanga anaweka CHURA pale??? Huyu ndiye anayesababisha CHUKI kujaa kifuani mwa wana Yanga. Kwani Simba na Yanga zimeanzishwa leo?? Kwani utani wa Jadi umeanza leo???? KWANINI KUPIGANA KUANZE LEO????
Huna points ya msingi. Nonsense
 
Ukisema waandishi wapumbavu hiyo sio personal attack, ukisema covid-19 ni mpumbavu hiyo ndo personal attack. Tutajie ni mtu gani marana alimu attack personally. Katika utani mwingi wa Manara anaitania Yanga sio mtu binafsi. Mbona nyie Utopolo mmeitania sana simba Mara wa matopeni, mikia, mbumbumbu nk na mnaenda uwanjani kwenye mechi za simba hamfanywi chochote.
Chanzo cha hizi vunjo za Utopolo ni ushamba tu wa baadhi ya mashabiki wa Utopolo fc wa kujiona wao hawastahili kutaniwa, ila wao ndo wataniwe. Ukipenda kutania kubali kutaniwa. Mpira sio vita Nyie baadhi ya mashabiki wa Utopolo. Maana sidhani ka viongozi wenu wa Utopolo wanafurahia hayo mnayofanya.
Labda sio mfuatiliaji mzuri wa mitandao, kuna kipindi Manara alisema msemaji wa Yanga sio rizki.
 
Jamani msiwasakame Yanga hata Simba tulikuwa hivyo miaka 3 kushindwa kuchukua kombe ni maumivu makubwa wana stress na ubingwa nakumbuka kuna mwaka na sisi tuling'oa viti taifa piga shabiki za Yanga
Njia pekee ya uto kujifariji ni vurugu tu na mwaka huu hawabebi kombe wataishia kubeba watu labda waliibe
 
Back
Top Bottom