Tfda

Anna pita

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
227
425
naombeni msaada ninakijana wangu anauza duka la dawa sasa hana elim ya kutosha kutoa huduma hiyo nimeambiwa kuwa hawa TFDA(Tanzania Food and Drug Authority) wanatoa mafunzo ya muda mfupi. naombeni mwenye uwelewa anielekeze zaidi na kwa hapa arusha hudma hiyo ipo? asanten
 
Waliofanya oral interv erolink novemba kuhusu vodacom posts vp mmeitwa?
 
ninakijana wangu anauza duka la dawa sasa hana elim ya kutosha kutoa huduma hiyo

Are you serious?!

Aisee, majanga. Anauzaje duka la dawa (baridi?) bila ya elimu? Aipataje leseni ya duka?

Nakushauri afunge duka kwanza, kasha akasome.

Ndiyo maana Tanzania magonjwa hayaishi!
 
Kuna mafunzo yalikuwa yanatoleea nadha na wizara ya afya ambapo wahitimu wake ndio wanatakiwa wawe wanauza kwenye maduka ys dawa muhimu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom