Leo nilikuwa natengenezea kuku wangu chakula.Kwa kawaida DCP(Dicalcium Phosphate) ninayotumia ni ya Sianga International Company Limited.Kama ni
an international company kweli sijui.DCP hii composition yake ni kama ifuatayo:-
Calcium.....240gms
Potassium...160gms
Phosphorus..150gms
Magnesium....12gms
Vitamins.1,300,000I.U?
Jana nilipokwenda kununua DCP kama nilivyozoea,sikupata ya Sianga,badala yake nikapata ya Keen Feeder's.Niliichukua nikiamini kwamba composition yake ni kama ya Sianga. To my surprise Potassium,
Magnesium na Vitamins hamna,badala yake wameweka Lead
006, mtoto mwenye umri wa miaka minne alikufa alipomeza kito fulani kilichokuwa na viwango vya juu vya madini ya risasi. — Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Hii ni Tovuti rasmi ya Mashahidi wa Yehova. Imetayarishwa kwa ajili ya wale wanaotaka kufanya utafiti katika machapisho ya Mashahidi wa Yehova, katika lugha mbalimbali.wol.jw.org
Fuata pia link ifuatayo uone athari za madini ya Fluoride.
Athari za Madin ya Flouride Kwa Afya yako!!
Shirika la afya duniani(WHO) lilipendekeza kiwango cha fluoride kwenye maji ya kunywa kiwe 0.5-1 milligram/lita. Kutokana na madhara makub...nanofiltertz.blogspot.com
No body should tell me there is a lethal dose
( LD) for Lead au Fluoride kwa kuwa repeated consumption leads to a lethal dose, hata kama safe dose ingekuwepo.My question is,kama athari za Lead na Fluoride ni mbaya kiasi hicho kwa nini zinaruhusiwa kutumika kwenye vyakula vya kuku na hata rangi,mafuta ya magari,vyombo vya udongo nk.nk.?TFDA au TBS hawaoni?Kila mtu anajua jinsi afya za watu zilivyo tete.Kwa nini kusiwe na hatua za makusudi za kulinda afya za Watanzania.Ndio Rais Magufuli anafanya kazi nzuri kuwaletea Watanzania maendeleo,lakini kama afya zao zitakuwa mgogoro,it will be all in vain.Agenda ya 9 ya Illuminati dhidi ya wanadamu ina maneno yafuatayo ya kutisha sana,"To cause. by means of A)limited wars in the advanced countries, B) by means of starvation and diseases in theThird World countries, the death of three billion people by the year 2050, people they call "useless eaters". Some of us are called useless eaters! Wow.Is it a coincidence that we have Lead and Fluorine as a chicken feed additive? I guess not.This is surely part of an extermination game without us being aware as stipulated by the Illuminati.Are TBS and TFDA collaborators?I real don't know.
Mkuu Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya flourine(high toxic) na flouride karudie chemistry yako ya sec. Flouride huwa katk toothpaste & drinking water Ina kazi yake kuprevent dental caries kwahyo walioweka sio wapuuziDescription of Fluorine.
Fluorine is a chemical element with the symbol F and atomic number 9. It is the lightest halogen and exists as a highly toxic pale yellow diatomic gas at standard conditions.
Umeiona hiyo?
Mkuu nimejibu kuhusu Fluorine kwa kuwa mhusika aliuliza kuhusu Fluorine.Comrade nimesoma Chemistry mpaka level ya MSc,kwa hiyo I know what I am talking about.I know the difference between Fluorine and a Fluoride.Mkuu Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya flourine(high toxic) na flouride karudie chemistry yako ya sec. Flouride huwa katk toothpaste & drinking water Ina kazi yake kuprevent dental caries kwahyo walioweka sio wapuuzi
Duh,aisee pole.Kwa hiyo uko tayari wewe mwenyewe kula sumu na wengine kuwapa sumu.Ndio maana jamaa wamepata ujasiri wa kuwaletea hata Ebola kwa kuwa wanajua ni mapoyoyo kwa hiyo mtaona ni magonjwa ya kawaida tu aliyoleta Mungu.Lazima tuwe waunguzi,makusudi ya hawa watu ni mabaya sana kwetu.Kwa ufugaji huu wa kwenda btn lines hapa kwetu Afrika utatoboa kweli???
Mengine waachiwe wahusika we fuga utakufa kwa stress
Ni kweli,naona kwa majivuno kabisa wanatangaza unleaded fuel.Lakini why did they use lead in fuel in the first place?Ni agenda mbaya tu za extermination.Anyway hata kama hiyo risk ya lead imeondoka,bado risk ya lead in other places ni kubwa mno,paints,earthenware utencils,tiles,toys,now even chicken feed additives(DCP) etc.etc.Magari siku hizi yanatumia unleaded fuel.
Mtoa mada kafanya jambo la msingi sana, maana tukiogopa kuuwa biashara za watu wakati zinatudhuru ni ujinga.
Ni kweli,naona kwa majivuno kabisa wanatangaza unleaded fuel.Lakini why did they use lead in fuel in the first place?Ni agenda mbaya tu za extermination.Anyway hata kama hiyo risk ya lead imeondoka,bado risk ya lead in other places ni kubwa mno,paints,earthenware utencils,tiles,toys,now even chicken feed additives(DCP) etc.etc.
Maji yote ya chupa ni mabaya binti,chemsha maji yako.
Mkuu hi?vi kirefu cha TMDA ni Tanzania Medicine & Drug Authority ama ni Tanzania Medicine and Medical Devices AuthorityKuanzia tarehe 01/ Julai/ 2019 TFDA (Tanzania Food & Drug Authority) imebadilika na kuwa TMDA (Tanzania Medicine & Drug Authority). Hii ni baada ya kuhamisha shughuli za vyakula (Foods) na kuzipeleka TBS.
Ila kwa uuelewa wangu eneo la udhibiti wa dawa na chemikali za kilimo na mifugo halijafanyiwa kazi vya kutosha nchini kwetu. Kw hiyo hata hawa TMDA watakuwa wana lazimisha tu kukagua ila siyo wabobezi.
Kwa TBS ni kwamba wanaweza kujua namna ya kuweka viwango vya kemikali lakini nao ni mbumbumbu kwenye usalama (safety).
I hope uko right, nilikosea kwa ku -assume.Mkuu hi?vi kirefu cha TMDA ni Tanzania Medicine & Drug Authority ama ni Tanzania Medicine and Medical Devices Authority