TFDA na TBS,Lead na Fluoride kwenye DCP zinafanya nini,mbona hizi ni sumu?

Kwa ufugaji huu wa kwenda btn lines hapa kwetu Afrika utatoboa kweli???
Mengine waachiwe wahusika we fuga utakufa kwa stress
Leo nilikuwa natengenezea kuku wangu chakula.Kwa kawaida DCP(Dicalcium Phosphate) ninayotumia ni ya Sianga International Company Limited.Kama ni
an international company kweli sijui.DCP hii composition yake ni kama ifuatayo:-
Calcium.....240gms
Potassium...160gms
Phosphorus..150gms
Magnesium....12gms
Vitamins.1,300,000I.U?
Jana nilipokwenda kununua DCP kama nilivyozoea,sikupata ya Sianga,badala yake nikapata ya Keen Feeder's.Niliichukua nikiamini kwamba composition yake ni kama ya Sianga. To my surprise
Potassium,
Magnesium na Vitamins hamna,badala yake wameweka Lead

Fuata pia link ifuatayo uone athari za madini ya Fluoride.



No body should tell me there is a lethal dose
( LD) for Lead au Fluoride kwa kuwa repeated consumption leads to a lethal dose, hata kama safe dose ingekuwepo.My question is,kama athari za Lead na Fluoride ni mbaya kiasi hicho kwa nini zinaruhusiwa kutumika kwenye vyakula vya kuku na hata rangi,mafuta ya magari,vyombo vya udongo nk.nk.?TFDA au TBS hawaoni?Kila mtu anajua jinsi afya za watu zilivyo tete.Kwa nini kusiwe na hatua za makusudi za kulinda afya za Watanzania.Ndio Rais Magufuli anafanya kazi nzuri kuwaletea Watanzania maendeleo,lakini kama afya zao zitakuwa mgogoro,it will be all in vain.Agenda ya 9 ya Illuminati dhidi ya wanadamu ina maneno yafuatayo ya kutisha sana,"To cause. by means of A)limited wars in the advanced countries, B) by means of starvation and diseases in theThird World countries, the death of three billion people by the year 2050, people they call "useless eaters". Some of us are called useless eaters! Wow.Is it a coincidence that we have Lead and Fluorine as a chicken feed additive? I guess not.This is surely part of an extermination game without us being aware as stipulated by the Illuminati.Are TBS and TFDA collaborators?I real don't know.
 
Description of Fluorine.
Fluorine is a chemical element with the symbol F and atomic number 9. It is the lightest halogen and exists as a highly toxic pale yellow diatomic gas at standard conditions.

Umeiona hiyo?
Mkuu Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya flourine(high toxic) na flouride karudie chemistry yako ya sec. Flouride huwa katk toothpaste & drinking water Ina kazi yake kuprevent dental caries kwahyo walioweka sio wapuuzi
 
Mkuu Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya flourine(high toxic) na flouride karudie chemistry yako ya sec. Flouride huwa katk toothpaste & drinking water Ina kazi yake kuprevent dental caries kwahyo walioweka sio wapuuzi
Mkuu nimejibu kuhusu Fluorine kwa kuwa mhusika aliuliza kuhusu Fluorine.Comrade nimesoma Chemistry mpaka level ya MSc,kwa hiyo I know what I am talking about.I know the difference between Fluorine and a Fluoride.
Fluorine is a halogen,and an element.It is highly toxic and is a gas ordinary temperatures.A
Fluoride on the other hand, is a radical and its salts which are crystalline white are also very poisonous.Let me tell you this friend,you have been cheated that it is Fluorine that is a poison.Common sense should be enough to convinse you that if the element is a poison,its salt should also be a poison.Isn't this common sense?Please go through the following to see the truth.What you know is a lie.


Fluoride is a highly toxic substance. Consider, for example, the poison warning that the USFDA now requires on all fluoride toothpastes sold in the U.S. or the tens of millions of people throughout China and India who now suffer serious crippling bone diseases from drinking water with elevated levels of fluoride.

In terms of acute toxicity(i.e., the dose that can cause immediate toxic consequences), fluoride is more toxic than lead, but slightly less toxic than arsenic. This is why fluoride has long been used in rodenticides and pesticides to kill pests like rats and insects. It is also why accidents involving over-ingestion of fluoridated dental products–including fluoride gels, fluoride supplements, and fluoridated water–can cause serious poisoning incidents, including death.

The debate today, however, is not about fluoride’s acute toxicity, but its chronic toxicity (i.e., the dose of fluoride that if regularly consumed over an extended period of time can cause adverse effects).

Although fluoride advocates have claimed for years that the safety of fluoride in dentistry is exhaustively documented and “beyond debate,” the Chairman of the National Research Council’s (NRC) comprehensive fluoride review, Dr. John Doull, recently stated that: “when we looked at the studies that have been done, we found that many of these questions are unsettled and we have much less information than we should, considering how long this [fluoridation] has been going on. I think that’s why fluoridation is still being challenged so many years after it began.”

In this section of the website, we provide overviews of the scientific and medical research that implicates fluoride exposure as a cause or contributor to various chronic health ailments. In 2001, the union of scientists at the Environmental Protection Agency’s Headquarters Office in Washington D.C. stated: “we hold that water fluoridation is an unreasonable risk.”

Fuata link ifuatayo for all the information.

 
Kwa ufugaji huu wa kwenda btn lines hapa kwetu Afrika utatoboa kweli???
Mengine waachiwe wahusika we fuga utakufa kwa stress
Duh,aisee pole.Kwa hiyo uko tayari wewe mwenyewe kula sumu na wengine kuwapa sumu.Ndio maana jamaa wamepata ujasiri wa kuwaletea hata Ebola kwa kuwa wanajua ni mapoyoyo kwa hiyo mtaona ni magonjwa ya kawaida tu aliyoleta Mungu.Lazima tuwe waunguzi,makusudi ya hawa watu ni mabaya sana kwetu.
 
Magari siku hizi yanatumia unleaded fuel.

Mtoa mada kafanya jambo la msingi sana, maana tukiogopa kuuwa biashara za watu wakati zinatudhuru ni ujinga.
Ni kweli,naona kwa majivuno kabisa wanatangaza unleaded fuel.Lakini why did they use lead in fuel in the first place?Ni agenda mbaya tu za extermination.Anyway hata kama hiyo risk ya lead imeondoka,bado risk ya lead in other places ni kubwa mno,paints,earthenware utencils,tiles,toys,now even chicken feed additives(DCP) etc.etc.
 
Nilisoma sehemu kwamba USA mwenye nyumba yenye paints zenye lead huwa anakuambia kabisa.

Hapa kwetu ilikuwa inatakiwa watuelezee kwamba bidhaa zao zina lead.
Ni kweli,naona kwa majivuno kabisa wanatangaza unleaded fuel.Lakini why did they use lead in fuel in the first place?Ni agenda mbaya tu za extermination.Anyway hata kama hiyo risk ya lead imeondoka,bado risk ya lead in other places ni kubwa mno,paints,earthenware utencils,tiles,toys,now even chicken feed additives(DCP) etc.etc.
 
Kuanzia tarehe 01/ Julai/ 2019 TFDA (Tanzania Food & Drug Authority) imebadilika na kuwa TMDA (Tanzania Medicine & Drug Authority). Hii ni baada ya kuhamisha shughuli za vyakula (Foods) na kuzipeleka TBS.

Ila kwa uuelewa wangu eneo la udhibiti wa dawa na chemikali za kilimo na mifugo halijafanyiwa kazi vya kutosha nchini kwetu. Kw hiyo hata hawa TMDA watakuwa wana lazimisha tu kukagua ila siyo wabobezi.

Kwa TBS ni kwamba wanaweza kujua namna ya kuweka viwango vya kemikali lakini nao ni mbumbumbu kwenye usalama (safety).
Mkuu hi?vi kirefu cha TMDA ni Tanzania Medicine & Drug Authority ama ni Tanzania Medicine and Medical Devices Authority
 
Mkuu hi?vi kirefu cha TMDA ni Tanzania Medicine & Drug Authority ama ni Tanzania Medicine and Medical Devices Authority
I hope uko right, nilikosea kwa ku -assume.

Ila jina limekuwa very boring. TFDA was nice, short and compatible with other regulators world wide.
 
Ungetuwekea na chemical formula ya maji ya Kilimanjaro, maana ina ingredient nyingi lazima itakuwa inaform kitu ambacho ni non toxic.

Siamini kama wachemia wote Tanzania hawakuliona hili kipindi wanapitisha haya maji,

Je maji haya tunayo chemsha visimani na ziwani yana lead na fluoride?

Je kama hayana wameiweka kwa sbb gani kwenye maji ya Kilimanjaro?

N.B, Flouride na lead sio preservatives
 
Back
Top Bottom