Nisaidie mwenye hayo malimo, hilo la juu mteja ndo nakaa wapi? Maana la chini limeonyesha wazi la juu nimeshindwa paona au shingoni nn? Afu kwa mbio hizo nadhani litakuwa linakarikia Cairo maana naona linakimbia mwanzo mwisho hakuna kusimama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.