Teuzi za Mh Rais zinawapa nguvu wasomi wa nchi hii ambao huko nyuma walijawa na 'stress'

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mambo zenu!

Awali ya yote naomba nimshukuru sana Mh Rais kwa kutambua uwepo wa wasomi nchi hii, hasa 1st degree, Masters, PhD ,Proffesors na hata wale wenzetu wa fani ya Uhandisi (Engineering).Kwakweli nitakuwa mchoyo wa fadhira kama sitamshukuru Mh Rais.

Ukijaribu kuangalia, karibu kila idara, kila kitengo Mh Rais amejaribu kuwakumbuka wasomi sana. Anza tu na Baraza lake tamu la Mawaziri (Engineer, Dk & Proffesors).

Hali kadharika, makatibu wakuu, manaibu wakatibu wakuu, wakuu wa idara/vitengo na hata wakurugenzi wa mashirika ya umma, kwa kweli wengi(kama si wote), ni wasomi kabisa.Na ni mwaka wa kwanza na nusu toka aingie madarakani.

Kwa upande wa makada, wale ambao wamesoma kidogo kama mwenzangu DAUDI BASHITE, wameramba mashavu sana kwenye nafasi za Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, MaDC, maRAS, nafasi mbalimbali kwenye chama nk.

Naukumbuka usemi wa Mh Rais kwamba, maendeleo hayana chama.Na hii anaionesha kwa vitendo kabisa.Watu tofauti hata wasiokuwa wa CCM, Mh Rais anawapa nafasi mbalimbali za uongozi.Mfano Prof Kitila Mkumbo wa UDSM.

Huko nyuma, wasomi walianza kulalamika, kusononeka, kufadhaika , kuchanganyikiwa na kuwa na stress lakini sasa mambo yananoga.Rais hana hila na msomi.Anatupenda sote.

Mantiki ya kwamba anachukua wasomi vyuoni haina mashiko.Kwan hakuna vijana wengine mpk hao waendelee kukalia hayo maofisi?Tuache nongwa.

Asanteni sana
 
Nini dhima ya wasomi na vyuo vikuu popote pale duniani?
 
Sasa kama umesoma hadi PhD halafu unalalamika kwa sababu tu umekosa uteuzi wa rais basi huyo atakuwa ni moja ya wasomi waliokula pesa zetu wafuja jasho bila manufaa yoyote!!
 
Sawa kweli anawateua wasomi lakini hapo hapo anapowatumbua anakuwa ameharibu career progression zao!! Mfano kama baada ya miezi sitta akaamka na kumtumbua Kitila Mkumbo si atakuwa amemuharibia maisha yake!!
 
Mambo zenu!

Awali ya yote naomba nimshukuru sana Mh Rais kwa kutambua uwepo wa wasomi nchi hii, hasa 1st degree, Masters, PhD ,Proffesors na hata wale wenzetu wa fani ya Uhandisi (Engineering).Kwakweli nitakuwa mchoyo wa fadhira kama sitamshukuru Mh Rais.

Ukijaribu kuangalia, karibu kila idara, kila kitengo Mh Rais amejaribu kuwakumbuka wasomi sana. Anza tu na Baraza lake tamu la Mawaziri (Engineer, Dk & Proffesors).

Hali kadharika, makatibu wakuu, manaibu wakatibu wakuu, wakuu wa idara/vitengo na hata wakurugenzi wa mashirika ya umma, kwa kweli wengi(kama si wote), ni wasomi kabisa.Na ni mwaka wa kwanza na nusu toka aingie madarakani.

Kwa upande wa makada, wale ambao wamesoma kidogo kama mwenzangu DAUDI BASHITE, wameramba mashavu sana kwenye nafasi za Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, MaDC, maRAS, nafasi mbalimbali kwenye chama nk.

Naukumbuka usemi wa Mh Rais kwamba, maendeleo hayana chama.Na hii anaionesha kwa vitendo kabisa.Watu tofauti hata wasiokuwa wa CCM, Mh Rais anawapa nafasi mbalimbali za uongozi.Mfano Prof Kitila Mkumbo wa UDSM.

Huko nyuma, wasomi walianza kulalamika, kusononeka, kufadhaika , kuchanganyikiwa na kuwa na stress lakini sasa mambo yananoga.Rais hana hila na msomi.Anatupenda sote.

Mantiki ya kwamba anachukua wasomi vyuoni haina mashiko.Kwan hakuna vijana wengine mpk hao waendelee kukalia hayo maofisi?Tuache nongwa.

Asanteni sana

Sina hakika huko nyuma kiasi gani unazungumzia, lakini kama wana stress mana yake kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu ya juu na kwa jumla.
Tunachokifanya sasa ndio kitazidisha matatizo.
 
Sawa kweli anawateua wasomi lakini hapo hapo anapowatumbua anakuwa ameharibu career progression zao!! Mfano kama baada ya miezi sitta akaamka na kumtumbua Kitila Mkumbo si atakuwa amemuharibia maisha yake!!
Hilo ndilo linaloenda kumkyta Kitila. Tego hilo likifyatuka analo
 
Back
Top Bottom