TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Biswalo alishika nafasi nyeti sana, hata kama Mama hamkubali, isingiwezekana kumwondoa na kumutupa mtaani, kama watu hawakumpenda, washukuru kwamba katolewa kwenye DPP office, alikopelekwa wasijali sana.
 
Eti mwanga subiri teuzi ndio uje kubwabwaja hapa jukwaani
Mataga bwana mtapata shida sana!!yaani akili zenu mlifikia hatua eti dpp akishateuliwa hawezi kufukuzwa, hadi kustafu au aache kazi, au kutokana na sababu za kiafya!!aSasa ameondolewa andamaneni!!!MUNGU FUNDI, R.I.H
 
Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM

Hii ndiyo kazi pekee anayoiweza

1620758685960.png
 
Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Magufuli aliwahadaa watanzania kuwa yeye ndo amejenga barabara zote za kuunganisha mikoa, mpaka JK alivyomuumbua kwenye mazishi yake kwa kutaka kupora legacy yake. Mtu muovu sana. Uwongo mwingi na Kupenda tu sifa za hovyo hovyo
 
Mlisema hamtaki barabara, mnataka hela kumifuko; leo mnazitaka tena!??? JPM na ujenzi, ujenzi na JPM --- that is totally unfutikable. Mwambieni Jamaa wa Msoga Watanzaniaa wamemsoma sana jinsi alivyohonyoa rasilimali za nchi hii kwa mbwembwe, vicheko na ulaghai. ^Watanzania si wajinga,^ sawa!???
 
Mzee Mgaya anasema ili uwe Mkurugenzi wa Mashtaka ni lazima uwe na sifa za kuweza kuwa Jaji wa mahakama kuu. Kwa maneno mengine DPP ni sawa na Jaji na ndio maana amepewa uwezo wa kuamua kesi ipi iende mahakamani na ipi isiende.

Kimsingi hayati Magufuli ndio alimpa ujaji Biswalo kwa kumteua kuwa DPP na hatukusikia mtu yoyote akilalamika na alichofanya Rais Samia ni kumbadilishia nafasi tu, anasema Mgaya

Chadema wajaribu kutenganisha mambo ya taaluma na siasa kwa sababu mambo mengine yako juu yao, amemalizia.

Kazi Iendelee!
 
Mganga Biswalo hapana, hatateda haki. Hili Mama umechemsha sana. Ameumiza watu sana huy, nawe unalijua hilo, bado unampeleka Mahakamani atoe hukumu
Imagine, halafu atokee awe jaji kwenye kesi ya Lugemalila au Mwanachedema yeyote....!!!
 
Mzee Mgaya anasema ili uwe Mkurugenzi wa Mashtaka ni lazima uwe na sifa za kuweza kuwa Jaji wa mahakama kuu. Kwa maneno mengine DPP ni sawa na Jaji na ndio maana amepewa uwezo wa kuamua kesi ipi iende mahakamani na ipi isiende.

Kimsingi hayati Magufuli ndio alimpa ujaji Biswalo kwa kumteua kuwa DPP na hatukusikia mtu yoyote akilalamika na alichofanya Rais Samia ni kumbadilishia nafasi tu, anasema Mgaya

Chadema wajaribu kutenganisha mambo ya taaluma na siasa kwa sababu mambo mengine yako juu yao, amemalizia.

Kazi Iendelee!
MZEE HUYU KIMBELE FRONT SANA, hapa issue ni Moral integrity hana.
 
Mzee Mgaya anasema ili uwe Mkurugenzi wa Mashtaka ni lazima uwe na sifa za kuweza kuwa Jaji wa mahakama kuu. Kwa maneno mengine DPP ni sawa na Jaji na ndio maana amepewa uwezo wa kuamua kesi ipi iende mahakamani na ipi isiende.

Kimsingi hayati Magufuli ndio alimpa ujaji Biswalo kwa kumteua kuwa DPP na hatukusikia mtu yoyote akilalamika na alichofanya Rais Samia ni kumbadilishia nafasi tu, anasema Mgaya

Chadema wajaribu kutenganisha mambo ya taaluma na siasa kwa sababu mambo mengine yako juu yao, amemalizia.

Kazi Iendelee!

..wanachodai Cdm ni kuwa DPP Mganga alifanya madudu ktk nafasi hiyo, kwa kubambika watu kesi kihuni-huni hivyo mtendaji wa aina hiyo hafai kuteuliwa kuwa Jaji.

..wanadai DPP Mganga alipaswa kutumbuliwa, au kufukuzwa kazi, na sio kupewa uhamisho kwenda kuwa Jaji wa mahakama kuu.
 
Back
Top Bottom