TEUZI: Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali Novemba 13, 2021

Dr Isaka amerudi baada ya zimwi la fao la kujitoa kuondoka naye SSRA kama sijakosea wakati wa marehemu.
 
Angalau kawakumbuka wakristo na makabila ya bara....maana teuzi zake ilikuwa ni watu kutoka kanda ya pwani, visiwani & waislamu.

Turuka & Katunzi - Kagera/Haya
Shayo - Kilimanjaro/Chaga
Huyu Katunzi ni mtoto wa Dk. Naomi Katunzi ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu. Ukiangalia teuzi hizi zinazunguka miongoni mwa watu walewale na vizazi vyao.
 
Kwanza Nani kakudanganya Kuwa nina Kazi Ndogo,Kazi Yangu Haiitani Mshahara Dogo,Wewe Unaogopa Kutolewa hapo ulipo pia Unaogopa Wanaokulinda umewazoea wanakupa fair,Hivyo unaogopa Watu wapya....
Utakoma kama Uliingia kazini kwa Upendeleo

Uzi Ukioshikia Muda si Mrefu utakatwa kataaa...Ujiunge kwtu ujasiriamali.
Usilolijua

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom