TEUZI: Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali Novemba 13, 2021

Angalau kawakumbuka wakristo na makabila ya bara....maana teuzi zake ilikuwa ni watu kutoka kanda ya pwani, visiwani & waislamu.

Turuka & Katunzi - Kagera/Haya
Shayo - Kilimanjaro/Chaga
Turuka n ngoni/matengo...Ruvuma
 
Angalau kawakumbuka wakristo na makabila ya bara....maana teuzi zake ilikuwa ni watu kutoka kanda ya pwani, visiwani & waislamu.

Turuka & Katunzi - Kagera/Haya
Shayo - Kilimanjaro/Chaga
Wakristo ingekuwa amri yenu viongozi wote mlitaka wawe wa dini yenu tu,,

Aisee mna chuki ,huo udini una faida gani,mbona Waislamu hawana chuki nanyinyi pamoja na kuwa mmejaa kwenye nafasi nyingi serikalini,

Teuzi ijayo Waislamu wakiwa wengi mtaanza kumtukana Rais
 
Aiseee!
Baada ya kauli hii unajisikia burdaaani kabisa, au sio?
 
Wakristo ingekuwa amri yenu viongozi wote mlitaka wawe wa dini yenu tu,,

Aisee mna chuki ,huo udini una faida gani,mbona Waislamu hawana chuki nanyinyi pamoja na kuwa mmejaa kwenye nafasi nyingi serikalini,

Teuzi ijayo Waislamu wakiwa wengi mtaanza kumtukana Rais
Mungu ashasema kuwa hawa msiwafanye kuwa wasiri wenu kwani hawawapendi na wanawachukia.Nadhani unaona mwenyewe kuwa wanavyomchukia mama Samia lakini yote ni kwa sababu dini yao ni ya mashaka.Kama mtu anaweza kwenda mbele ya sanamu akaomba maombi yake unaweza jiuliza maswali mengi kuhusu hiyo dini.
 
Dah, inasikitisha Sana, Wana chuki kubwa
 
We subiria kufukuzwa hata kwa hiyo kazi ndogo uliyonayo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Kwanza Nani kakudanganya Kuwa nina Kazi Ndogo,Kazi Yangu Haiitani Mshahara Dogo,Wewe Unaogopa Kutolewa hapo ulipo pia Unaogopa Wanaokulinda umewazoea wanakupa fair,Hivyo unaogopa Watu wapya....
Utakoma kama Uliingia kazini kwa Upendeleo

Uzi Ukioshikia Muda si Mrefu utakatwa kataaa...Ujiunge kwtu ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom