TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Wananchi wa Tabora wanafanya sherehe. Komanya alikuwa gaidi sana.

Alikuwa na dharau kwa kila mtu. Alikuwa anadharau hata mabosi wake mkuu wa mkoa na ras.

Kwa ujumla,jamaa alikuwa hana sifa yoyote ya uongozi.
Ana ujeuri huyo......
nampata
 
Hapo ni ofisi halmashauli. Kama huamini ebu leta picha za ofisi ya DC wa chalinze?
Hii ni logo yao, wametaja Halmashauri ya Wilaya, kwenye jengo la utawala(picha hapo juu mwanzoni) napo wametaja Wilaya.

Kama sio Wilaya kwanini watumie neno WILAYA?

Hilo neno Wilaya(District) halipaswi kuonekana hapo, linatakiwa kuonekana popote itakapotajwa Wilaya ya Bagamoyo na wala si Wilaya ya Chalinze(kama linavyoonekana kwa sasa)
thumb_157_102x110_0_0_crop.gif
 
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ni Serikali Kuu na kuna Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Wilaya husika. Mamlaka za Serikali za Mitaa ni Halmashauri za Wilaya pamoja na Miji Midogo, Miji, Manispaa na Majiji.

Ukiondoa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam, Wilaya ya Tanga na Wilaya ya Dodoma Mjini ambazo zina zina Halmashauri moja. Wilaya nyingine nyingi zina Halmashauri zaidi ya moja.
 
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ni Serikali Kuu na kuna Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Wilaya husika. Mamlaka za Serikali za Mitaa ni Halmashauri za Wilaya pamoja na Miji Midogo, Miji, Manispaa na Majiji. Ukiondoa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam, Wilaya ya Tanga na Wilaya ya Dodoma Mjini ambazo zina zina Halmashauri moja. Wilaya nyingine nyingi zina Halmashauri zaidi ya moja.
Mfano tanga Kuna korogwe TC na korogwe dc zote ziko wilaya moja

Lushoto Kuna lushoto dc na bumbuli dc

Handeni Kuna handeni mjini na vijijini .
 
Hii ni logo yao, wametaja Halmashauri ya Wilaya, kwenye jengo la utawala(picha hapo juu mwanzoni) napo wametaja Wilaya.

Kama sio Wilaya kwanini watumie neno WILAYA?

Hilo neno Wilaya(District) halipaswi kuonekana hapo, linatakiwa kuonekana popote itakapotajwa Wilaya ya Bagamoyo na wala si Wilaya ya Chalinze(kama linavyoonekana kwa sasa)View attachment 1824929
Neno wilaya lisikuchanganye. Hiyo inaitwa halmashauli ya wilaya ya Chalinze. Hapo ina maana ni ofisi za mkurugenzi wa hiyo halmashauli ya wilaya ila DC ni mmoja ambapo wilaya ni Bagamoyo District.

Bagamoyo district has two councils i.e. chalinze district council and bagamoyo district council but the DC is situated at bagamoyo town. Nimejaribu kutumia kimombo ili tuelewane.

Kumbuka DC haongozi halmashauli ya wilaya bali anaongoza wilaya na wilaya moja inaweza Kuwa na halmashauli zaidi ya moja mfano Lushoto, Rungwe, Mbeya nk.
 
Hizo ni shida za 90% ya vijana nchini na wewe mmojawapo
Lakini siasa za kipuuzi za kibongo zimekuzoesha umasikini ili uone ni sehemu ya maisha yako
Na sasa hivi viteuzi vya wanaojikombakomba kwenye hizo siasa uchwara ndio zimekuwa kama bahati nasibu ya maisha.
Hawa makende walioteuliwa watafanya nini kubadilisha maisha ya watu kwenye maeneo ya uteuzi zaidi kwenda kuiba, kunyanyasa na kuua (Sabaya, Makonda) ? ....

1. Sio maskini
2. Sipo nchini

Kila mtu anatoka kwa juhudi zake mwenyewe, hutolewi kwa nguvu za DC au Rais. Kama kuna vijana wanasubiri kutolewa na hao madc hilo ni tatizo lao. Watasubiri sana na kulaumu serikali kila siku.

Kujikomba hadi unateuliwa huo ndo upambanaji wenyewe, vijana wengine should follow suit. Huteuliwa kama umelala tu ghetto.
 
Chalinze siyo Wilaya bali ni Halmashauri. Nahisi Maana ya Wilaya na Halmadhauri ndiyo vinakuchanganya.
Chalinze siyo wilaya.

Mm pia nina sifa kibao za kuwa mkuu wa wilaya, napatikana hapa Nakapanya.
Chalinze ipo ndani ya wilaya ya Bagamoyo.Chalinze ni halmashauri ,wilaya ya Bagamoyo ina halmashauri mbili ya Bagamoyo na ya Chalinze.
Wilaya ni Bagamoyo Ila halmashauri zipo mbili chalinze na Bagamoyo
Chalinze sio wilaya kaka!
Neno wilaya lisikuchanganye. Hiyo inaitwa halmashauli ya wilaya ya Chalinze. Hapo ina maana ni ofisi za mkurugenzi wa hiyo halmashauli ya wilaya ila DC ni mmoja ambapo wilaya ni Bagamoyo District. Bagamoyo district has two councils i.e. chalinze district council and bagamoyo district council but the DC is situated at bagamoyo town. Nimejaribu kutumia kimombo ili tuelewane. Kumbuka DC haongozi halmashauli ya wilaya bali anaongoza wilaya na wilaya moja inaweza Kuwa na halmashauli zaidi ya moja mfano Lushoto, Rungwe, Mbeya nk.
Chalinze ni wilaya acheni porojo
Screenshot_2021-06-21-01-24-38-98.jpg
Screenshot_2021-06-21-01-24-49-96.jpg
 



Embu tumsikilize waziri wa TAMISEMI akiongea uhalisia wa hizi teuzi inabidi waanze process upya ya seminar za uongozi, kuwapa ufahamu wa sera (agenda) za serikali katika maeneo kadhaa; hapo bado ujagusia training za kuwajengea uwezo wa management.

Kwanini kila siku watu wanadhani wanaulazima wa kubadili badili watu; wakati unajua changamoto unazotengeneza mbeleni and inconsistency serikalini.

Ndio maana hizi nafasi huwa za civil servants na wana succession planning zao.

Hatua mbili mbele; moja nyuma.

Yaani iliuonekane ni raisi lazima ubadili civil service yote kuanzia wizarani mpaka kwenye service level ni utamaduni wa kishamba sana.

Haya ndio mambo yanayotufanya tuulize ni watu wangapi haswa huko serikalini walio na shahada za siasa kuelewa how civil services runs a country.

Kazi ya kuendesha nchi technically siyo ya wanasiasa wao wana mandate tu ya wananchi kupitia sanduku la kura but they and go with elections, civil services needs a continuation approach regardless who is in charge politically.

Based on events za Tanzanian politics it doesn’t look like many civil servants have political degrees to manipulate the system to their advantage kwenye kuendesha nchi.

It is a for a reason wanasiasa karibu wote ulaya have read Plato’s Republic; it provides a perspective on how to run a country and the importance of civil services.
 
Point ya mtoa mada ni kw nini kwenye bango lao watumie neno chalinze district badala ya chalinze council
 
Yametumika yote naona Chalinze district council
Kazi kwelikweli naona mleta Mada anataka aone mtawala wa eneo (Area Commissioner) DC kabisa
kwa mm nijuavyo pale Chalinze pana Jimbo la Uchaguzi ila sio wilaya.
 
Hii ni logo yao, wametaja Halmashauri ya Wilaya, kwenye jengo la utawala(picha hapo juu mwanzoni) napo wametaja Wilaya.

Kama sio Wilaya kwanini watumie neno WILAYA?

Hilo neno Wilaya(District) halipaswi kuonekana hapo, linatakiwa kuonekana popote itakapotajwa Wilaya ya Bagamoyo na wala si Wilaya ya Chalinze(kama linavyoonekana kwa sasa)View attachment 1824929
Pamoja na kueleweshwa kote huko bado unaleta ubishi.
 
Back
Top Bottom