M Mnyalu wa Kweli JF-Expert Member Oct 7, 2010 233 55 Oct 30, 2010 #1 Wakuu, kuna taarifa zimezagaa hapa ofisini kwangu kuwa Super Coach Mziray amefariki. Mwenye taarifa zenye uhakika atupe details.
Wakuu, kuna taarifa zimezagaa hapa ofisini kwangu kuwa Super Coach Mziray amefariki. Mwenye taarifa zenye uhakika atupe details.
TUKUTUKU JF-Expert Member Sep 14, 2010 11,765 4,033 Oct 30, 2010 #2 Ni kweli,hata mimi nimesikia WAPO FM walitangaza leo asubuhi!!!
drphone JF-Expert Member Sep 29, 2009 3,542 281 Oct 30, 2010 #3 ni kweli na me nimeiona kwenye blog ya michuzi RIP couch