Tetesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lord, May 4, 2010.

 1. Lord

  Lord Member

  #1
  May 4, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna tetesi eti kabla ya muajiri mkuu kuja kuwahutubia wazee wa Dar jana alionekana katika weekend yote akifuatilia kwa makini mashindano ya kiduku akiwa pamoja na sophia simba na juma kapuya. Na baada ya hapo walielekea kwa vijana wa masauti kula sebene la ukweli. Na walitumia nafasi hiyo kushauriana mambo mbali mabali ya wafanyakazi na ndo kama mlivyosikia wenyewe jana ushauri alioupata ndo huo. Wenye habari zaidi mwageni data.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nchi imefika mahali patamu sana..yaani ni kama movie la kivita flani hivi
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,745
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  This is like a 2012 movie!
   
 4. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sitamani hii tamthilia iishe!
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nchi iuzwe tu na kila Mdanganyike apewe mgao wake ajue pande ipi ageukie kama ni Kenya, Zambia au Somalia
   
 6. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  He unaejiita Lord, huwachi mambo yako hayo? Wengine watadhani ni ya kweli!
   
 7. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,496
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Huyu zamani alikuwa anakunywa safari bia, sijui bado anaendelea nazo...maana safari mziki wake ni hatari kubwa unaweza kuanza kuongea pumba ukadhani point za kufa mtu!
   
Loading...