Tetesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Democrasia, Mar 4, 2008.

 1. Democrasia

  Democrasia Member

  #1
  Mar 4, 2008
  Joined: Feb 1, 2008
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kuna tetesi kuwa kigogo mmoja ambaye pia ni mtu maarufu sana wa chama tawala mkoa wa Mara, baada ya kutwika pombe amemtandika mtu na kumtoa roho.
  Jamani kama kuna mwenye taarifa plese update us
   
 2. g

  gnasha Member

  #2
  Mar 4, 2008
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli itakuwa mbaya sana. Tusubiri wenye kujua watuhabarishe.
   
 3. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2008
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli,basi hakuna kesi - yatakuwa yaleyale ya Ditto
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Post zingine bwana, hata kwenye Nyepesi hazifai, Mods anzisha jukwaa la za ovyo ovyo....hakuna kichwa wala miguuu, Democrasia kama huna cha kuandika soma post za wenzako....hii nini sasa?
   
Loading...