Tetesi.....

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,054
23,505
Kufuatia Kuwepo Kwa Taarifa Za Uhakika Kuwa Rais
Mstaafu Wa Zanzibar, Dkt. Amani Abeid Karume Na
Katibu Mkuu Wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad
Wana Mpango Wa Kukutana Jijini London Nchini
Uingereza Ambapo Watafanya Mazungumzo Na
Wazanzibari Waishio Huko Kuhusu Hali Ya Kisiasa
Zanzibar Ikiwa Ni Pamoja Na Uamuzi Wa CUF
Kutoshiriki Uchaguzi Wa Marudio.
Dkt. Karume Atakuwepo London Wakati Maalim Seif
Atakapowasili Akitokea India Alipokwenda Kwa
Matibabu Na Baada Ya Mazungumzo Hayo Seif
Ataelekea Oman Kwa Mapumziko Ya Muda.
Baadhi Ya Wazanzibari Hususani Wana Ccm
Wamehoji Ukaribu Wa Karume Na Seif, Na Kusema
Inawezekana Karume Anataka Kuhamia CUF
 
Hakuna la ajabu,vyama ni watu,kila mtu yuko huru kujiunga na chama anachokitaka.
 
Natamani ningekuwa na uwezo wa kuona mapema uchaguzi wa CCM utakuwaje maana mpaka sasa hakuna kinachosomeka. Sijajua km niombee amani au? Maana naona km vile hakuna haki...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom