Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Mnaosubiri majina matano kutangazwa leo mnapoteza muda.

Wanachofanya kwa sasa ni delaying technics, majina hayo yatatangazwa kesho wakati wa mkutano mkuu na mwenyekiti mwenyewe.

Wanafanya hivyo ili kuwafanya wale waliongulia wasipate muda wa kujipanga na mashambulizi au kuamishia hasira zao kwa wagombea wasiotakiwa na vigogo wa chama.

Ni kweli mkuu kwasababu so far haya ni mambo yao ya chama kwahiyo wanaweza wakaamua vyovyote ilimradi iwe kwa manufaa ya chama sema sie tunawaomba mara hii waipe familia ya baba ya Taifa heshima kwani tumeona tayari ya Mzee Karume ilishapewa heashima yake kwa kutoa rais ukizingatia hizi ni familia kuu kisiasa hapa Tz, zitendewe haki.
 
CCM ni mabingwa wa mazingaombwe ya kisiasa, wakipanga jambo iwe isiwe litapita, kwa jinsi walivyofanya kwenye bunge la katiba na juzi kupitisha miswaada bila Akidi, nadhani hii issue ya kumpata mgombea urais ni lazima watapindisha tu kanuni ili kumbeba mtu au kumkata mtu.

Hii Delay ni political strategy ya CCM katika kutaka kuwatapeli watu.
 
Wana JF,

Hivi karibuni nimesikia wengi wakisema ya kwamba Lowassa alionewa kwenye mchakato wa kutafuta mgombea ndani ya CCM kwa sababu hakuingia tano bora ili "kupambana ulingoni" na kwamba waliomuonea walifanya hivo kwa maslahi yao na kwamba Lowassa hana kasoro au shutuma za rushwa. Nisaidieni, kwa nini Lowassa hakufaa kupitia na je alionewa?

Ahsanteni
 
Ebu toka huko nyie ndo mnaoturudisha nyuma habari za lowasa kwa sasa za nini?hamumuon mwenyewe kakaa kimya na nyie wapenzi wake wenye mahaba nae mkomae tu maana hakuna namna
 
Ebu toka huko nyie ndo mnaoturudisha nyuma habari za lowasa kwa sasa za nini?hamumuon mwenyewe kakaa kimya na nyie wapenzi wake wenye mahaba nae mkomae tu maana hakuna namna
Khaa!! Mlivyokula vyake na vya marafiki leo hamtaki hata kukumbuka. Nyie watu wabaya sana. Ngoja aende na wale wengine wakamle
 
Funika KOMBE mwanaharamu apite
mambo yalishapita na mwenyewe AMERIDHIKA na team yake
unataka kuyafufua ya nini
wewe endelea kulipia Vodacom atakutana naye huko
Nenda kalipie Umeme utakutana naye huko
ni mapaka Magufuli atakapoyafyfya Mabwawa ya Maji ya mito na kuachana na umeme wa mafuta
Magufuli atakapofufua Reli na shilika la simu
ndio utakuwa level na Lowassa
 
Ebu toka huko nyie ndo mnaoturudisha nyuma habari za lowasa kwa sasa za nini?hamumuon mwenyewe kakaa kimya na nyie wapenzi wake wenye mahaba nae mkomae tu maana hakuna namna

Dah! Punguza jazba aise nimeuliza tu swali ili niwajibu wakereketwa wake sijasema lolote kuhusu mahaba wa mapenzi (kwani taarab hii?) Wewe ndo utoke na akili yako finyu iliokosa hoja. Shame on you.
 
Me sijui kwa nini watu tunahangaika kufuatilia hizi story za mh Lowassa. Me nadhan ni bora tukae kimya tusubiri tamko la Lowassa mwenyewe. Hizi ishu za kwamba ameonewa au vipi si jukumu letu. Chama chake kimemwona hafai kiingia huko tano bora....mbona hamuulizi kwa nn ukawa hawakatangaza mgombea wao??
 
Hiyo ni stori ya jana, sie tunaaonga mbele.sasa ni kujadili mikakati ya uchaguzi. Ya lowassa muachie mwenyewe na walio mchuja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom