falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,287
Siku mbili hizi mtandaoni pamekuwa na tetesi zinazovuma kwa kasi sana juu ya shilika la mfuko wa hifadhi ya jamii kufilisika rasmi
Hivyo basi pamekuwa na hali kubwa ya sitofamu nini hatma ya wastaafu wanaosubiri viinua mgongo vyao hali inayopelekea wengi wao kupatwa na magonjwa ya presha kwa kuhofia kukosa kabisa viinua mgongo vyao walivyotumiakia taifa wakati wa ujana wao
Ikumbukwe wiki moja iliyopita niliweka thread humu nikieleza hatua kwa hatua jinsi CWT kushirikiana na PSPF inavyowanyonya walimu
Hivyo basi ni muhimu PSPF haraka watoe kauli rasmi juu ya kufilisika kwao na ni nini hatma ya wastaafu Tanzania.kwani hizi taarifa za PSPF kufilisika rasmi haziwezi kuvuja bila sababu
Kaeni rada soon nitaweka A to Z madudu ya PSPF na sababu za kuchelewa kuwalipa wastaafu from internal source