Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Wakuu miaka flani nilisikia matetesi ya mwisho wa dunia ivi awa watu walikua wanatumia viashiria gani? Mbona mpaka Leo tunakula upepo?
Jibu swali apo mkuu walikua wanatumia signal zipiMwisho wa dunia ni saa yako yako kufa
Mkuu Mbona unatetemeka? Maraika Ndio nini?Anayejua ni Baba pekee, hata maraika hawajui.
Elewa ivoivo hakuna namna nyingineMkuu Mbona unatetemeka? Maraika Ndio nini?
Kwa iyo awa wanaosema sema mdomoni tu tuwaweke kwenye kundi gani?Mwisho wa dunia upo ama tunaamini au atuamini. Mungu habadiliki kwa sababu ya blaaablaaa zetu.
Dalili za mwisho wa Mathayo 24 imeandika vizuri soma utaelewa
Mwisho wa duniaKiama ni nini?
Julius Hussein,rekebisha kwanza kiswahili chako maana umeandika Kizaramo.Sio "miaka flani"bali ni miaka fulani,pia Sio "matetesi"bali ni tetesi na mwisho sio "ivi awa watu"bali ni hivi hawa watu.Wakuu miaka flani nilisikia matetesi ya mwisho wa dunia ivi awa watu walikua wanatumia viashiria gani? Mbona mpaka Leo tunakula upepo?
Inaonekana bando litakuishia sio mda nione mkuu, uzi hujaulelewa? Iyo ni style ya uwandishi tu sio kama sijui kiswahiliJulius Hussein,rekebisha kwanza kiswahili chako maana umeandika Kizaramo.Sio "miaka flani"bali ni miaka fulani,pia Sio "matetesi"bali ni tetesi na mwisho sio "ivi awa watu"bali ni hivi hawa watu.