Tetesi za mwisho wa dunia zimeishia wapi?

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu miaka flani nilisikia matetesi ya mwisho wa dunia ivi awa watu walikua wanatumia viashiria gani? Mbona mpaka Leo tunakula upepo?
 
Jitayarishe mkuu tu anytime.hatuijui siku wala saa lakini tunatakiwa kuwa tayari muda wowote.Get ready mkuu
 
Mambo mengine si yakuhoji mwisho wa nini?ata kwa vitabu vya mungu akuna mwisho,siku ya mwisho ni kifo chako ,akuna anye zungumza na mungu na kiambiwa kuna mwisho
 
Mwisho wa dunia upo ama tunaamini au atuamini. Mungu habadiliki kwa sababu ya blaaablaaa zetu.
Dalili za mwisho wa Mathayo 24 imeandika vizuri soma utaelewa
 
Mwisho wa dunia upo ama tunaamini au atuamini. Mungu habadiliki kwa sababu ya blaaablaaa zetu.
Dalili za mwisho wa Mathayo 24 imeandika vizuri soma utaelewa
Kwa iyo awa wanaosema sema mdomoni tu tuwaweke kwenye kundi gani?
 
Mwisho hauji kwa kusema, ila kuna wingu ukilitizama unaweza sema mvua itanyesha na ikanyesha, omba Mungu akupe macho ya rohoni,
 
Wakuu miaka flani nilisikia matetesi ya mwisho wa dunia ivi awa watu walikua wanatumia viashiria gani? Mbona mpaka Leo tunakula upepo?
Julius Hussein,rekebisha kwanza kiswahili chako maana umeandika Kizaramo.Sio "miaka flani"bali ni miaka fulani,pia Sio "matetesi"bali ni tetesi na mwisho sio "ivi awa watu"bali ni hivi hawa watu.
 
Julius Hussein,rekebisha kwanza kiswahili chako maana umeandika Kizaramo.Sio "miaka flani"bali ni miaka fulani,pia Sio "matetesi"bali ni tetesi na mwisho sio "ivi awa watu"bali ni hivi hawa watu.
Inaonekana bando litakuishia sio mda nione mkuu, uzi hujaulelewa? Iyo ni style ya uwandishi tu sio kama sijui kiswahili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom