Tetesi za Ebola: Serikali ya Tanzania inafanya mzaha kwenye jambo la hatari

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
...WHO na US wanaelezea jinsi serikali ya Tanzania inavyowanyima taarifa kuhusu ugonjwa wa Ebola. Ni jambo moja kutangaza "mafanikio ya serikali" kwa Watanzania na kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani; LAKINI ni jambo tofauti KABISA kuleta mzaha na kitu ambacho athari zake haziishii hapa nchini pekee.

Sekta ya utalii itakufa muda si mrefu mkiendelea hivi.

Jisomee hapa:

https://www.bbc.com/news/world-africa-49786823
 
Nimeiona heading inatrend mbele ya luninga kwenye taarifa ya habari ya SAA Tisa alasiri BBC world news kuwa Tanzania imeshindwa kuwakilisha na au imezuia vielelezo au sampuliza anayedaiwa kufa kwa Ebola huko WHO.

Hizi siasa za msimu huu zitakuja kutumaliza kwa hakika. Badala ya kukazana kutoa elimu kwa RAIA jinsi ya kujikinga na Ebola wao wamekaza kuuhadaa ulimwengu. Tutajachekwa mbeleni na walimwengu!
 
Na hao wanaosema IPO si watoe picha za waliowazika kwa huo ugonjwa?

Hivi Ebola ni ya kuchezea kweli kama IPO au haipo? Huo ugonjwa ni dhahama ukilipuka hauna mswalie sheikh!
Hii habari nimeiona somewhere ikanishangaza sana na kuniogopesha. Kwanini hawataki kutoa ushirikiano? Wanaficha nini? Yaani hii nchi imepatwa aisee.
 
Nimeiona heading inatrend mbele ya luninga kwenye taarifa ya habari ya SAA Tisa alasiri BBC world news kuwa Tanzania imeshindwa kuwakilisha na au imezuia vielelezo au sampuliza anayedaiwa kufa kwa Ebola huko WHO.
Hizi siasa za msimu huu zitakuja kutumaliza kwa hakika. Badala ya kukazana kutoa elimu kwa RAIA jinsi ya kujikinga na Ebola wao wamekaza kuuhadaa ulimwengu. Tutajachekwa mbeleni na walimwengu!
hii nchi ni ya kishamba sana !
 
Nimeiona aljeziira.
 
Sitaki niamini kama serikali inaweza kuficha ugonjwa huu hatari na katili kuliko magonjwa yote, tumeshuhudia jinsi ndugu zetu wa huko Afrika ya Magharibi walivyo teketea kwa balaa hili, lakini majuzi mpaka leo tumeona Congo inavyo surubiwa na ugonjwa huu, hivi inawezekana Serikali ifiche balaa hili. Kwakuwa hili ni jukwaa huru na naamini wakubwa hupitia humu, ningeshauri mwenye taarifa sahihi AZIWEKE HAPA ili zisaidie juu ya hili na naamini zitafanyiwa kazi haraka sana
 
Back
Top Bottom