Jamani naombeni uhakika kuhusu hizi tetesi za ugaidi katika show finest ambapo mwanFA anatarajia kuwepo. Kwani baadhi ya watu inasemekana wameonywa kwenda!
Hakuna kitu kama hicho, tayari watu wameanza kujaa na kwa wale wenye magari parking imeanza kujaa so ni vizuri kutafuta Parking eneo lingine, ulinzi upo wa uhakika, Mh.Zitto simuoni nadhan bado hajaingia, hii ni burudani wale wanao politicise burudani watatuwia radhi!
Kama kuna ugaidi sasa kwanini tuende huko tulipuliwe!
Labda watuambie ulinzi utakua chini ya FFU na JWTZ si mabaunsa ambao akili zimehamia kwenye vifua!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.