Tetesi ya ugaidi show ya mwana FA

Salas

JF-Expert Member
Feb 15, 2009
382
82
Jamani naombeni uhakika kuhusu hizi tetesi za ugaidi katika show finest ambapo mwanFA anatarajia kuwepo. Kwani baadhi ya watu inasemekana wameonywa kwenda!
 
hivi vita vya wanamuziki am sure vinawafaidisha walioko nje kuliko wa walioko ndani.
sitoshangaa kwa lolote lile kutokea
 
mh! asa nini tatizo na wewe si ungewauliza hao walioonywa kwenda utuwekee humu...!?
 
Washaanza visingizio sio. Leo mnakula za uso tena. Hii no zaidi ya ile ya vinega
 
wasije wakasema eti kwasababu ya visingizio ndiomaana show inawatu wachache kisa kuogoba al shababy
 
Hakuna kitu kama hicho, tayari watu wameanza kujaa na kwa wale wenye magari parking imeanza kujaa so ni vizuri kutafuta Parking eneo lingine, ulinzi upo wa uhakika, Mh.Zitto simuoni nadhan bado hajaingia, hii ni burudani wale wanao politicise burudani watatuwia radhi!
 
wasije wakasema eti kwasababu ya visingizio ndiomaana show inawatu wachache kisa kuogoba al shababy

acha ushamba wewe, ubora wa show sio wingi wa watu, kama ishu ni wingi wa watu wangefanya elf 5 kama uwanja wa Taifa mjae.
 
Kama kuna ugaidi sasa kwanini tuende huko tulipuliwe!
Labda watuambie ulinzi utakua chini ya FFU na JWTZ si mabaunsa ambao akili zimehamia kwenye vifua!
 
Back
Top Bottom