Mhhhhhhhhhhhhhh
Naomba nisiwachoshe.
Kumekuwa na habari, maneno au fununu kwamba Mwanaume mwenye uume mkubwa unaweza ukasababisha asinenepe(umamnyonya mwili).
Je hiikitu inaukweli?
Nihayo tu, nawakaribisha tujadili hili.
Speak out mkuu, please say something
Nothing to say........
makubwamwambie tu ukweli huyu. siku za uwazi hizi. mwambie tu ni kweli vidume vyembamba vingi vinakuwa na nanilii kubwa sana. tena malizia akiteua box ana uhakika litamaliza njaa hakuna pa kukimbilia.... ukweli? uwongo!? ha ha ha ha....