Tetesi :Ni kweli kuna waraka mpya wa mishahara kwa watumishi wa umma?

MZAWATA

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
556
95
kuna tetesi kwamba kuna waraka mpya unaoanza kutumika mwez desemba, jaman wadau mlio karibu na hazina na utumishi tunaomba taarifa kamili juu ya tetesi hizi
 
Piga mingo zako mkuu haujafika walishawaongezea wabunge si ndo wanaowalinda hiyo kitu sidhani kama ipo. Nakushauri fanya kazi kulinafana na mshahara wako kama unaweza kukidhi mahitaji yako ka siku mbili fanya hizo.
 
Mbali na wabunge, pia wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi, waraka huo Siri sana haukuwekwa wazi
 
mara nyingi mishahara huwa inaongezeka mwaka mpya wa serikali, ie july kwa kutumia bajet mpya,

sasa kwa decemba sijui watatoa kwenye fungu gani.
 
mara nyingi mishahara huwa inaongezeka mwaka mpya wa serikali, ie july kwa kutumia bajet mpya,

sasa kwa decemba sijui watatoa kwenye fungu gani.
Ndiyo hivyo tena mkuu,kuna watu hajui mambo ya bajeti hata kidogo!
 
linawezekana endapo wabunge nao wanapewa make serikali inajua fika usipowapa hao lazima umma utajua na kitasanuka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom