Piga mingo zako mkuu haujafika walishawaongezea wabunge si ndo wanaowalinda hiyo kitu sidhani kama ipo. Nakushauri fanya kazi kulinafana na mshahara wako kama unaweza kukidhi mahitaji yako ka siku mbili fanya hizo.
Ndiyo hivyo tena mkuu,kuna watu hajui mambo ya bajeti hata kidogo!mara nyingi mishahara huwa inaongezeka mwaka mpya wa serikali, ie july kwa kutumia bajet mpya,
sasa kwa decemba sijui watatoa kwenye fungu gani.